JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwalimu alikuwa anafundisha somo la Geography bahati mbaya chaki ikadondoka chini hivyo akaona ainame na kuiokota mara akajamba kwa kuona aibu kwa wanafunzi akatoka darasani na kurudi nyumbani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi Ladies, Mamas & Totos inayofuraha kukuletea New Collection ya nursing scarf Zinapatikana katika style na rangi tofauti . Ni kwa ajili ya wamama/wadada wanaonyonyesha ukitaka kwenda na wakati...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baaada ya kumaliza Likizo yangu niliyopewa kwa uonevu,sasa nimerudi kwa nguvu mpya,Mlo mpya,kushiba kule kule....
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Nilipomuuliza anamaanisha nini akasema kuna mashosti wake wanammezea mate wa ubavu wake, na ameona hii ndio njia nzuri yakufikisha ujumbe. Unajua ni nani......????
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Piga namba hii uone maajabu ya VODACOM *141*0766285321*10000#.
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Siku zinakatika, yamebaki masaa tu. Sina kampani, nipo nipo tu. Nani anaenda anipe kampani?
0 Reactions
6 Replies
850 Views
Wapendwa wana chit chat kuna huyu memba anaejiita Arushaone .......daaaah jamani sio mchoyo wa kutoa like......hebu na tumpe hongera zake manake hana mpinzani chit chat na majukwaa mengine kwa...
24 Reactions
281 Replies
12K Views
Mwalimu alimwuliza ruttashobolwa, "ukiwa mkubwa unataka kufanya nini?" ruttashobolwa akajibu, "nataka nimwoe mke mrembo, tuwe tunaogelea pamoja, niwe nikifanya mapenzi nae mara tatu kwa siku, niwe...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
A boy was in a taxi eating chocolate,then he took another one then a man next to him said"do u know that chocolate will damage your teeth" the boy replied "my grandfather lived 132yrs". The man...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ni siku ya wanyama duniani, hapa nchini Tanzania maadhimisho yake yalianza jana hapo Taifa kwa MNYAMA kushikwa sharubu...almanusura achinjwe!
2 Reactions
11 Replies
1K Views
wanajamvi najua humu tuna wataalamu wa aina mbalimbali, naombeni msaada wa namna ya kuweza kudownload picha za still, video na miziki kwenye mtandao kwa kutumia laptop au simu. asanteni sana.
0 Reactions
4 Replies
893 Views
binafsi napenda sana kuwaheshimu hawa wasaidizi wa ndani maana ndo wanaobeba majukumu yote ya familia kuanzia asubuhi hadi usiku,kiusalama na kila kitu ndani na nje ya familia.nilichokiona leo...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Kuna gazeti nimesoma yani nimeishia kucheka tu, lakini ni vinatokea kwenye jamii yetu, ni kuhusu watu waendavyo misibani, mana watu wanaenda kuonyeshana nguo, magari ya kifahari, mitindo ya nywele...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tujaribu ku-create story fupi,unaendeleza kutunga story fupi kwa kureply pale mwenzako alipoishia,na umwachie mwingine aendelee (kupokezana),unaweza kuandika mstari mmoja,miwili au hata tatu...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Wataje...
2 Reactions
199 Replies
11K Views
Ni kuhusu charminglady ,Yaani nimejaribu kujizuia ili nimsahau imeshindikana. Bado nampenda,ntaendelea kumpenda.Anaye weza kunisaidia kumpata huyu mdada natangaza donge nono.
0 Reactions
3 Replies
853 Views
jamani huu ni uchwawi au?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna tetesi zinasikika mjini kuwa kila mara viongozi wa kitaifa wanapo kuwa ziara mahali,basi huandaliwa vimwana kwa ajili ya kuwaliwaza. Je,tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
If your phone number ends wit 0- u are a trouble maker 1- u are very kind 2- u are very funny 3- u are intelliGent 4- u are sincere 5- u are careless 6- u are neat 7- u are handsome/...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Nauliza hivi..hivi wadau woote wa haka kajukwaa,kama imewezekana kwenye magari kupata 'plate number' ambazo zinaonyesha majina ya watu,je siwezi kupata price ya kuweka "tag" ninaitaka mimi....kwa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom