Naomba kura zenu zote kwa madame b.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,136
13,258
Wapendwa Chit-Chatters mabibi na mabwana! Habari zenyu bhana. Nachukua fursa hii kuwaomba kura zenyu wote na sitataja majina yenu ila kila mmoja kwa chansi yake nawaombeni jamani. Hata moderators naombeni kura zenu. LUV YU OLL.
 
dah hapatoshi.
X dad sema tu taratibu aziniruhusu ningepiga kura kwa my X love wangu Madame B
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa Chit-Chatters mabibi na mabwana! Habari zenyu bhana. Nachukua fursa hii kuwaomba kura zenyu wote na sitataja majina yenu ila kila mmoja kwa chansi yake nawaombeni jamani. Hata moderators naombeni kura zenu. LUV YU OLL.

VOTE FOR
mzl.ixfbjmiw.320x480-75.jpg
 
Wapendwa Chit-Chatters mabibi na mabwana! Habari zenyu bhana. Nachukua fursa hii kuwaomba kura zenyu wote na sitataja majina yenu ila kila mmoja kwa chansi yake nawaombeni jamani. Hata moderators naombeni kura zenu. LUV YU OLL.

Tugaie kwanza t-shirt......utaombaje kura kienyeji hivyo ???
 
Back
Top Bottom