wanaume kuweni makini na uongo wenu hahahahahah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanaume kuweni makini na uongo wenu hahahahahah

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nivea, Oct 2, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  Jamaa mmoja baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu alikimbia uchi hadi nyumbani kwake.

  Mkewe akamuuliza,"Kuna nini mbona uko hivyo?"

  Jamaa akajibu,"Nimevamiwa na majambazi,wameninyang'anya kila kitu hadi nguo!"

  Mke akamwambia,"Pole sana hao majambazi wakorofi sana! Wamekuvalisha mpaka condom?!"

   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  nyie kina dada mnapenda sana kudanganywa na ndio maana uongo hautaisha.
  ukiambiwa ukweli unaona kama waongopewa and vice versa...
   
 3. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yale yale ukiwa muongo inabidi uwe smart!
   
 4. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Natafuta sehem ya ku like sioni.ngoja nisitie neno naweza nikaharibu.umeongea kile kilichopo
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Unamwambia majambazi yenyewe yalikuwa ya kike, yaani hapa yalitaka kukuibia hadi wewe ndiyo nikafanikiwa kuyaponyoka..
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  unaakili sana wewe! Good!!!
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kudanganya ni wajibu wetu na kudanganywa ni haki yao..
  Ni lazima tutimize wajibu wetu Bana, no matter how tense is the situation..
   
Loading...