LINI mara ya mwisho KUSINGIZIWA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LINI mara ya mwisho KUSINGIZIWA?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by VUTA-NKUVUTE, Oct 1, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ulisingiziwa mara ya mwisho lini? Kuhusu nini? Mwisho ikawaje?
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...nakuja!!!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  BAGAH!
  "nakuja" hili neno lina maana pana ujue?
  Haswa kwa watu wazima!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaha...
  ina maana gani braza bana
  hebu nipe
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,603
  Trophy Points: 280
  kuna kabinti mtaani kalikua kananizimikia lakini tabia yake ilikuwa mgogoro, sasa bhana sijui mkaree gani akakapa leave ya miezi 9, si kakaanza kupakaza mtaa mzima eti ule mzigo wangu....nimekomaje?, hadi ninavyoandika kesi ipo ofisi ya mtaa
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hawa mabinti nomaa , kuna msela wangu naye juzi kasingiziwa amebaka, situation ilikuwa hivyo-hivyo, alizoeana na hako kademu ghafla akaamua kukachunia, ndio hapo chahcha demu akamaindi kuchuniwa na msela, si akaamua aseme msela amembaka!!
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Raha ya kubakwa iwe on-the-spot, mtu apige wimbo wa taifa. Sasa huyo analeta mazungumzo baada ya habari tena...
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,285
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hizi mambo omba zisikukute, hapo cha muhimu ni cheti cha daktari, wakiongea na daktari cheti kikapatikana inakuwa imekula kwako...
   
 9. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi nilisingiziwa kuwa nimeiba fedha ya kampuni ml 30..kumbe ni uzushi tu wajanja walinichorea ramani mbofu.
  Nikatemeshwa hiyo kazi.
   
 10. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu...
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kama hakuna ushahidi huwezi singiziwa...sema tu ukweli
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Huyo polisi anayekomalia hiyo kesi nae ****, jamaa wameshindwa kumtikisa tu. Mi kuna mwanangu wa kumlea alikimbilia polisi eti anadai mamake amemchapa, eti afande nae akamweka yule mama ndani.
  Mbona aliipatapata?
   
 13. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,090
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa jana,nilirudi home saa nane usiku.Wife akanisingizia kwamba pombe ndio zimenichelewesha wakati nilikuwa kwa nyumba ndogo.
   
 14. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  c ungejitetea mkuu kuwa ulikuwa kwa nyumba ndogo!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Hii kali,,, Ulimalizaje soo sasa?
   
 16. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,230
  Trophy Points: 280
  Ndo nasingiziwa sasa hivi. Ntawapa update badae kidogo.
   
 17. c

  chief72 JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jana wife kansingizia eti nimechochora, kanimind ile mbaya wakati jana demu mwenyewe alinipiga kalenda iwe leo, saizi nampigia kafunga simu,, nimekubali matokeo
   
 18. c

  chief72 JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jana wife kansingizia eti nimechochora, kanimind ile mbaya wakati jana demu mwenyewe alinipiga kalenda iwe leo, saizi nampigia kafunga simu,, nimekubali matokeo
   
Loading...