Je una kipaji gani? Ulikitambuaje kipaji chako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je una kipaji gani? Ulikitambuaje kipaji chako?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Oct 1, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Tusaidiane kugundua vipaji. Kuna wengi wana vipaji na hawajui namna ya kutambua vipaji vyao. KIPAJI NI PESA
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  nina kipaji cha kuwakamua wale wote wanaotembea na wake wa watu
   
 3. String Theorist

  String Theorist JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamani ee. "Talent" and "unique Ability" are two things different japokua vyote vinategemeana. Narudi baadae kuelezea zaidi.
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  hivi kula ni kipaji, karama au wito
   
 5. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi naogopa kusema hapa maana ntaonekana muongo.
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Tabia..
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  basi wewe Uoga ndio kipaji chako...
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Uongo...
  I am proud to say nimebarikiwa kuwa na hiki kipaji kwa kweli...
  Yaani kila ninalosema huwa ni uongo halafu watu wanaaminigi...
  Nilikigundua pale nilipomwambia mtu kuwa mimi ni muongo sana kisha akaniamini...
   
Loading...