karibuni chakula wanachit chat

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,353
kwa wale wakina ruttashobolwa wanaita matoke au wale wakina mangi wanaita machalali. Karibuni sana.
 
Daaah asante yani umekula siku ya mechi ya watani wa jadi.
 
Halafu mume mwenzangu hapo ukute hizo ndizi zina mix ya fish/noah/nyama, maharage karot, bamia, ngogwe mafuta ya kiasi nyanya kitunguu na chumvi weeee!

lazma niombe poo kwa madiko yote hayo.
 
Back
Top Bottom