mjanja na ****: tafsida ktk mapenzi

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Ukijiona MJANJA kwa kuanza kupendwa jua kuna FALLA katendwa.....
Na ukiona unaanza kutendwa jua kuna MJANJA kapatikana.
which means wewe ni FALLA

Don't worry just a love cycle
 
Ukijiona MJANJA kwa kuanza kupendwa jua kuna FALLA katendwa.....
Na ukiona unaanza kutendwa jua kuna MJANJA kapatikana.
which means wewe ni FALLA

Don't worry just a love cycle

niliwahi kuambiwa hivi " ukiona unatendwa jua kuna mjanja kapendwa,na ukiona unapendwa kuna mjinga katendwa" hapo jamaa alikua ananipa kibuti!
 
Back
Top Bottom