Wimbo mpya wa Taifa kabla ya 2015

Wimbo mpya wa Taifa kabla ya 2015

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,992
Reaction score
168,518
Bwana nipe pesa, wananchi wana njaa;
Huyo kiongozi wao, Apenda kutangatanga;
Hata majirani, wamechoka kumuona;
Wakusema, "fungeni milango anakujaaaaa!"
 
Wadanganyika wanalia, hawataki kumuona...
 
hata wa2 wa ARUSHA hawatak kumuona wanacema fungen milango anakujaaaaa!!!
nao wa2 wa MWANZA hawatak kumuona wanacema fungen milango anakujaaa!!!!
 
Pikabom,ha ha ha jamaa ni wakare wametouch anapopenda kiongozi,kutangatanga,,now anatangatanga amerika
 
Back
Top Bottom