PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
Chit-Chatters,
Jumamosi ya juzi nilikuwa kwenye Harusi ya jamaa yangu, nikashangaa kuona watu (zaidi wanawake) wanaomba wimbo mmoja tu toka mwanzo hadi mwisho, wimbo wenyewe ndio wenye maneno hayo hapo juu..
Napenda kujua unamaanisha nini huu wimbo?
Je anayeambiwa kuwa atambeba mwenzie ni mwanamke au mwanaume?
Je kunywa soda za mtu ndio sababu ya kumbeba m'baba au m'mama mtu mzima?