Jamaa flani alikuwa akisafiri kwa taxi,akapita kwenye bar mmoja yenye geust house akamuona mke wake akiingia ndani ya hiyo bar.
JAMAA:"Dereva hebu simamisha gari....unataka elfu moja ya chapchap?"...
Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona...
Katika vitu vimenihuzunisha ama sijui niseme vimeniskitisha! Whatever ni pale nilipokutana na Babu kwenye Sredi iliyoletwa hapa jamvi jana, yenye headin "Yanga Vs Simba".
Katika kuchangia kwetu...
Mwalimu: Nane kugawanya kwa mbili ni ngapi?
Mwanafunzi: Ni sifuri. Maana nane (8) imeunganishwa na sifuri mbili.
Mwalimu: kaa chini
Mwanafuzi: ngoja nijaribu tena. Ni tatu (3) maana ukiweka...
Jamaa mmoja alimfuatilia Mrembo fulani kwa muda mrefu sana na maranyingi akawa anamuomba wafanye mtoko japo mara moja ili waweze kuongea kwa faragha. Kwa bahati mbaya yule mrembo akamwambia Jamaa...
Hakika hakuna jukwaa lenye burudani kama hili, kutoka moyoni najivunia kuwa sehemu ya jukwaa hili! Baada ya dibaji hiyo sasa ladies & gentlemen bila kutaja jina wala ubaguzi wa majukwaa PIA MODS...
Wakuu,
Kuna kijana mmoja huko Mufindi aliulizwa siku yake ya kuzaliwa.
Yeye alijibu kuwa juzi alikuwa na miaka 25 na mwaka kesho atakuwa na miaka 28.
Swali
Je huyo kijana alizaliwa tarehe...
Umofia kwenu wana Chitchat!!
Kuna hii minguo ya kina dada ina mistari mistari kama ya pundamilia zipo rangi tofauti tofauti zipo kama dera yani kila kona lazima kati ya madada 10,7 wametinga hayo...
Hatimaye Mshindi wa Chitchat mwezi october amepatikana naye si mwingine ni Miss Madame B
Washindi wote wamepewa zawadi zao na tunaomba wadhibitishe kama wamepewa zawadi zao kupitia thread...
Mtalii mmoja alishuka airport akakodi taxi, ......... wakiwa njiani kelekea mjini dereva wa taxi akajamba shuzi kali muda kidogo dereva taxi akamuuliza mtalii ...unaionaje hali ya hewa? ... Mtalii...
Jamani hodi hodi..? Leo napenda mnieleweshe kwani Usomaji wa Majira ya Saa kwa ki inglish uko hivi..
Saa 1:00 asubuh
English ni 7 :00 am
Saa 2:00 Asbh
Englsh ni 8:00 am
Huu ukaririshwaji...
Heshima kwenu wadau,
Nipo safarini kwenye dala dala naenda kumcheki mwana Tandika..
Mbele ya dala dala kwa ndani kuna bonge la tangazo " ukisinzia tunakusachi" na kumcheki huyo konda...
Leo kanisani ibada inaendelea, muda wa sadaka kapu linapishwa kila mtu akatoa sadaka, ila jamaa mmoja alipokea kapu akampa mtu wa mbele yake bila kutoa, mzee wa kanisa kamuuliza vipi we mbona...
Mwanasheria mmoja alienda porini kuwinda, akampiga swala risasi lakini swala akakimbia na kuingia katika kibanda cha mzee mmoja...
Mwanasheria: "Mzee kuna swala wangu kaingia kibandani kwako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.