Hongera sana miss chit chat madame B.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Natumia nafasi hii kumpongeza Madame B kuwa miss chit chat. kama nlivyo sema mwanzo. Huyu binti alistahili kushinda hili taji.
Wale ambao kura hazikutosha msiumie sana kwani mwezi ujao huwezi jua, yaweza kuwa zamu yako. Mashindano haya yasivunje urafiki sababu hii ndo demokrasia ya chit chat. kura ilitakiwa moja na sisi wengi tumwili mmoja.
Hongera sana Madame B na washiriki wote. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom