Wosia wangu kwako.

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Kila aitazamie kesho yampasa kwanza aimalize leo. Acha nikudokeze juu ya maisha ya leo;
1. Ishi kwa upendo,
2. Ishi na furaha isiyo na mpaka.
3. Ishi kwa amani na kila mtu.
4. Usiweke mambo yako wazi kwa kila mtu.
5. Jihashimu kwani heshima yako inatokana na jinsi ulivyo.
6. Kuwa mvumilivu katika kila jambo ili kufikia mafanikio.
7. Weka msamaha mbele kwa kila anayekukosea na unayemkosea.
8. Ipende na kuiheshimu familia yako.
9. Tambua kuwa misukosuko ni sehemu ya maisha ivyo unapaswa kumwomba Mungu na kumshukuru kwa kila jambo.
 
Yes that's the life we should live


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom