ipi nzuri zaidi!!!!!!!??

princess enny

JF-Expert Member
May 27, 2012
1,038
379
hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip:
 
age aint nothing but a number... vinavyopendana ni mioyo na wala si maumbo haya yaliyoficha hiyo benki ya mapenzi(moyo)...
Take an example of Demi Moore na Ashton, Beckham na Vicky e.t.c....
So to me, penzi si kitenzi shurutishi bali nomino dhahania.
 
mmmh hapo watu8 umeongea kitu cha maana!! sasa ngoja na mim nilikubali lile libabu!!
 
Last edited by a moderator:
age aint nothing but a number... vinavyopendana ni mioyo na wala si maumbo haya yaliyoficha hiyo benki ya mapenzi(moyo)...
Take an example of Demi Moore na Ashton, Beckham na Vicky e.t.c....
So to me, penzi si kitenzi shurutishi bali nomino dhahania.

people say love doesnt care about age, but the facts is that, our intest,the way of thinking etc, all of them have some influences in our relationship(love), Nkirud kwenye topic kama ni mwanaume uwe na dem/mke uliyemzid na kama ni mwanamke uwe na mme anayekuzid, why so? It is because biologically women grow fast than men so wanazeeka mapema pia, on social law man is the head of family so he must be mentally matured to handle all family issues
 
mmh hii imetulia zaid!! but ikitokea umefall kwa uliye sawa nae je?? au mfano we ni mvlana ukampenda mschana aliyekuzidi je!??
 
Problem isnt about falling...Its about the consequences. hao walioweka hicho kigezocha umri hawakuwa wajinga...walikuwa na sababu zao...naam ni sababu za msingi sana ambazo vijana wengi wa siku hizi tunazifumbia macho na ndio maana kila kukicha hatuachi kulia kwa sababu ya mapenzi na hii ni kutokana na kujifanya kuwa tunajua sana na kuacha mafundisho yaliyo ya msingi na yenye faida na kuchukua yale ya ajabu ajabu...wahenga walisema asiyesikia la mkuu...!!! mie sina mengi ya kusema ila nadhani ujumbe wangu umewafikia wote wanaohusika.
 
Sioni tatizo endapo utamzidi au hutamzidi umri.
Cha umuhimu ni kujua uko nae kwa Sababu ipi ktk maisha yako.
Me mbona shemeji yenu kanizidi miaka 19 lakini namtreat like tuko umri sawa nae haoni tatizo lolote?
Mapenzi hayanaga hyo ya umri.
Cha umuhimu ni kuwa Je, anafiti kila Idara ktk mwili wako?
Bhaaaas....!!!
 
hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip:

Age is nothn wherever love exist! Mie nimeoana na mke wangu nimemzidi siku 25 tu! Tunapendana sana! Pia tumekuwa wachumba for 10 yrs!!!
Kulingana si tatizo kinachotakiwa mwanaume uwe kichwa kweli cha familia si upo upo tu hata kama umemzidi 5-10 yrs kama ni mwanaume usiyekuwa na uwezo wa kutatua matatizo na kuchukua maamuzi as a head of family mwanamke atakudharau tu! ( simaanishi kwamba uchukue maamuzi bila kumshirikisha mke). Cha msingi kichwa cha mwanamme kichaji zaidi ya mwanamke ili mke akuadmire kila siku!
Pia mambo flani uwe na uwezo wa kumpa kiasi atakacho, full stop!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
me machale yashancheza princess enny kafall kwa same age mwenzie ndo mana anakandamizia hapohapo[joke]

Ila in real sense atleast mwanababa awe kidogo kanizidi bt isiwe sana mana waweza jikuta watembea na babamzaz. Bt sio mbaya kwa watu wenye umri kuanzia 35 kulingana bt sio hawa 20 somthing hapa kutakua hakuna kitu
 
Sioni tatizo endapo utamzidi au hutamzidi umri.
Cha umuhimu ni kujua uko nae kwa Sababu ipi ktk maisha yako.
Me mbona shemeji yenu kanizidi miaka 19 lakini namtreat like tuko umri sawa nae haoni tatizo lolote?
Mapenzi hayanaga hyo ya umri.
Cha umuhimu ni kuwa Je, anafiti kila Idara ktk mwili wako?
Bhaaaas....!!!

Daaada shikamooo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom