Nyumba ya Juma na mkewe Siwema ilivamiwa
na majambaz,baada ya kuiba yakapanga
kuwaua wote,ila kabla ya kuua, yaliamua
kuwauliza maswal:
JAMBAZI:"we mwanamke unaitwa nan?"
SIWEMA:"Mm naitwa...
Sikiliza mazungumzo haya hapa; MTOTO: "Mama hausigeli wetu ni malaika?"
MAMA: "Kwa nini?"
MTOTO: "Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi, mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema..'Ooh...
Kutokana na hasira nilizonazo, naomba Zinduna uandae msuto wa snowhite na FP pale Wantashi-Masaki
Dress code: Smart Casual
Vinywaji: Red Wine, White and Green Wine, Whisky, no biere
Music...
Wadau ni aje?
Viongozi wa hiyo show fanyeni mpango mamaaa midolari ya cristmass awepo mjengoni next week ili tujue mshiko tutaupata vipi?
Najua natalia akiwepo nitacheka ninenepe mimi maana...
Hellow CC
Binafsi nimeumizwa sana na huu msiba wa Sharobaro coz nilikuwa nampenda sana kuliko msanii yeyote nchini. Kwa kweli nimepoteza furaha yote..kifupi niko kwenye majonzi sana.
Naomba...
Kifo cha Sharo kimeniuma, kutoka moyoni angefariki walau Kinana, Abraham kuliko huyu jamaa ambae alikuwa anatusogezea siku kwa cheko na kutusahaulisha matatizo japo kwa muda mfupi.
Najua...
Ninapenda kumshukuru Mungu for a special day like this to me,kwa kuwa na uzima na afya njema.28th November ambapo nimetimiza miaka (kadhaa).na mwaka huu,birthday imenikuta mbali na home so...
Nani anawakumbuka wale madensa wa zamani waliotamba miaka ile ya 80 mwishoni?
Mi nawakumbuka sana Diga Diga na Black Moses. Hawa jamaa walikuwa wakali sana.
Halafu kipindi hicho madebe...
Piga chini hii ndito Madame B,juu ya nini inakuweka roho juu mtoto wa kiume.
Kwanza we hendisam,elimu unayo,fuko benki limetuna, ndugu mabilionea kama bishanga unao kibao,tabu ya ninini mwanamke...
Heshima kwenu brothers and sisters..
Bado nina masikitiko kifo cha comedian anaenipa raha sana nikimuona as anapunguza sana stress kwa vicheko
Baada ya taarifa za vyombo vya habari as ajali...
Baada ya kua wenyewe kwa nyakati tofauti kuniletea malalamiko yenu, nimelazimika nimichaneni live tu!
Haina jinsi , kwani wenyewe ma'Bidada wamedai wakiwaambia huko mlipo mwajitoa fahamu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.