Madensa wa zamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madensa wa zamani

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyani Ngabu, Aug 28, 2012.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nani anawakumbuka wale madensa wa zamani waliotamba miaka ile ya 80 mwishoni?

  Mi nawakumbuka sana Diga Diga na Black Moses. Hawa jamaa walikuwa wakali sana.

  Halafu kipindi hicho madebe (masongi) makali yalikuwa Time, I need an answer, Maskinada, hata La isla bonita nayo ilitesa.

  Viwanja vikali uswazi vilikuwa Wapiwapi's bar, Lang'ata social hall, Sundown hotel (Sinza kwa kina Al Noor).

  Silent Inn kilikuwa kiwanja poa ingawa hapa ilikuwa kama unapenda kwenda kuangalia mijoka ya Kibisa na Muungano Ngoma Troupe ndo palikuwa pake hapo.

  DDC Kariakoo nako walikuwaga wanapiga disko pia. Ila hapa palikuwa ni sehemu ya masumbwi zaidi...nani anawakumbuka akina Stanley Mabesi, Gerard Isaac, Habibu Kinyogoli?

  Damn I miss those days....
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Haha ha haa unamkumbuka Digadiga sio?
  alikuwa mbabe ingawa dansa lol
  kuna siku aalimbonda promota..

  Enzi za Billicanas kuitwa Mbowe...
  na hoteli ya Skyway?
  hukumbuki cinema NN?
  New chox?drive inn?
  empire?
  enzi hizo ukikutana na watu Samora Avenue unakuwa wamevaa nguo za sikukuu lol
  siku hizi full vurugu lol
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi nilikuwa napenda kwenda Avalon na Empress. Unazikumbuka hizo theaters Boss?

  Pale Avalon kulikuwa na kisehemu jirani kilikuwa kinauza ice cream tam kichizi....unapakumbuka hapo Boss?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  Nakumbuka sana
  Avalon ndo ilikuwa ya mwisho kufa.....
  dah those days jiji halina foleni wala misongamano lol
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Anaitwa Joyce Wowowo, kama hujaona show zake kalagha bao!

  [​IMG]
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Dj Seydou pale British concil , pia ni wakukumbukwa! Hotel za kutajika early 80"
  The Kilimanjaro
  New Africa
  Skay way
  Palm beach
  Mawenzi
  Kibodya
  miaka hiyo Hotel Embassy ndiyo inajengwa na ikionekana ya kutisha sana!
  Hivyo vibisa nakumbuka palikua na competition kali sana kati ya Muungano dancing troupe cha Cp. Komba na Makutano dancing troupes cha Nobert Chenge.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  eebana eeeh hotel embassy ilikuwa bab kubwa enzi hizo.

  mi nakumbuka maza alinipeleka siku moja wakati hoteli ndo imefunguliwa funguliwa tu.

  yeye akaagiza shrimp halafu mimi akaniagizia soda na sambusa.

  nikamwuliza 'mama unakula nini'?....akaniambia anakula prawns.

  basi nikataka kumdoea akanipa mmoja tu....ile kumtafuna nikamwona mtamu kichizi.

  kutaka zaidi akaninyima bana lol.

  nilimmaindi mbaya sana.
   
 8. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Unazungumzia Snow cream!! Kipindi sana halafu kulikuwa na jumba lingine karibu na posta kisutu CAMEO unalanguliwa ticketi kuiona "i am a disco dancer". Wapi wapi's bar - umenikumbusha nyumbani...First and Last bar
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Small jobiso mnamjua huyu
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,035
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  ...Baucha...sasa hivi anaimba
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Huyo namkumbuka,na kulikuwa na bingwa wa kumuigiza Michael akiitwa Saba Jackson,na mwingine alijulikana kama Banza Mchafu sijui unawakumbuka hao..
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hapo sitapasahau,ipo siku nimetoka na mrembo wangu nimpe outing ile nafika mtoto akaagiza Banana boat wakati mimi mfukoni nina alfu tu nilikoma kuringa....
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Palikuwa panaitwa snowcream,pamevunjwa pale kwa sasa.
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Margot??????
   
 15. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,357
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ama kweli wazee hukumbuka.. enzi hizo mnazotaja niko zangu kwenye mafunzo ya kijeshi nchini Cuba baada ya kumaliza ngazi ya ukomando nchini China 7 years!!! Nyerere......mwacheni apumzike kwa amani jamani. Nilimaliza 7 years tena kwa Fidel Castro.  [​IMG]

  Hapo ni China kwa muda, ndipo nilipoanzia.

  [​IMG]

  Hapo ni Cuba nimechokaaa, nyuma yang ni Babu DC Dark City.

  [​IMG]


  Hapo ndio Russia nakaribia kuiondoa hii Mirage... Bishanga na Nyani Ngabu mimi ni mzee sana eti jamani hata mkimuuliza Mamndenyi, Madame B, Nicas Mtei, Filipo na marejesho mkewe wanajua ila sijazeeka down there muulizeni Mamzalendo my wife.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Athuman digadiga,sammy cool,black moses,blood moses,kelly john,kokoliko,flora tingisha lango la jiji,queen Dafrida enzi hizi acha tu.
   
Loading...