Naenda kununua Powerful jackpot 550 million dollar kwa jamii forum .


N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,596
Likes
160
Points
160
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,596 160 160
Mshindi anatajwa baada ya masaa 5 .mkishinda itakuwa Poa .naenda Dukani sasa hivi it's only 2 dollars namba nitaweka hapa nikirudi dukani
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,147
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,147 280
Hupati kitu wewe. Mi na co-workers wangu tumenunua mi ticket kibao. Lazima tushinde leo.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,147
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,147 280
Halafu siyo "powerful" jackpot ni Powerball jackpot.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
81,995
Likes
49,147
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
81,995 49,147 280
Ukishinda utafanyia nini hela?
Nita adopt watoto wawili

Nitachagua orphanage moja niipe msaada wa dola milioni 5

Nitanunua Maserati 2

Nitanunua condo South Beach

Nitanunua nyumba Buckhead
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,511
Likes
4,811
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,511 4,811 280
Nita adopt watoto wawili

Nitachagua orphanage moja niipe msaada wa dola milioni 5

Nitanunua Maserati 2

Nitanunua condo South Beach

Nitanunua nyumba Buckhead
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
hapa safi!
umenipa bonge la breakfast!
anajuaga kuwarusha roho kina mwaJ tu na mwenzie Ciello.hapa angalau mmeenda sawa!
ahahahhahahaahhahahh
 
Last edited by a moderator:
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,662
Likes
1,188
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,662 1,188 280
$$$$$? $$$$$? $$$$$$? $$$$$? Natalia na Nyani Ngabu mwanitia wazimu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Likes
13
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 13 0
Hahahahahahah mamito acha 2 huyu shosti cna hamu naye hata chembe toka atuingize tauni na zile dolari 1000 nimemtoa thaman lol
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
hapa safi!
umenipa bonge la breakfast!
anajuaga kuwarusha roho kina mwaJ tu na mwenzie Ciello.hapa angalau mmeenda sawa!
ahahahhahahaahhahahh
 
Last edited by a moderator:
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,662
Likes
1,188
Points
280
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,662 1,188 280
Hahahahahahah mamito acha 2 huyu shosti cna hamu naye hata chembe toka atuingize tauni na zile dolari 1000 nimemtoa thaman lol

Ciello wewe dharau muke ya muzungu Natalia? Ngoja alambe bingo!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,560
Likes
29
Points
145
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,560 29 145
aiseeeeee babaangu nikizipata kwanza nitazificha uswizi manake wabogo balaa
 
mwaJ

mwaJ

Tanzanite Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
4,076
Likes
15
Points
135
mwaJ

mwaJ

Tanzanite Member
Joined Sep 27, 2007
4,076 15 135
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
hapa safi!
umenipa bonge la breakfast!
anajuaga kuwarusha roho kina mwaJ tu na mwenzie Ciello.hapa angalau mmeenda sawa!
ahahahhahahaahhahahh
Kwi kwi kwi kwiiii kwiiiiiiii wee snowhite usijifanye mjanja wakati wewe ndio mnyonge wa Natalia. Akikupiga kikombora kimoja tu unahama mtaa. Natalia mwaya ukizipata usisahau kunitumia some nikununulie nyumba nyingine Mbezi beach karibu na ile ulojenga mwenyewe.
 

Forum statistics

Threads 1,250,919
Members 481,523
Posts 29,750,780