Nyie Wanaume Nyiee! Mnalalamikiwa !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Baada ya kua wenyewe kwa nyakati tofauti kuniletea malalamiko yenu, nimelazimika nimichaneni live tu!
Haina jinsi , kwani wenyewe ma'Bidada wamedai wakiwaambia huko mlipo mwajitoa fahamu na kisha hamtekelezi.

Wadada ama Mashori or whatever (waite upendavyo)
miongoni mwao wakiwemo Ma'aunt waandamizi kama sio wafawidhi hapa Jeiefu , wanadai mnawatesa na kuwanyima ladha asilia mnapokua mnapeana TENDO TAKATIFU !

Kero lao kubwa wanasema hamtaki ama kwa maksudi au ni kwa uzembe tu kukata MAKUCHA ya vidole vyenu vya mikononi .
Kwamba mnapo visit maeneo ya BIG G SPORTS CLUB na mikucha ka'reki ya kuvutia majani , kwao starehe hugeuka nakua karaha!

Wanaume wenzangu hii ni msg kwenu ya maboresho , na wala si ya dhalilisho hebu tubadilike.
Kucha tu? Jamani hadi tunangwe?
Nawasilisha.
 
kumbe na vidole vinaendaga kule!!! mmh ngoja nfumbe macho nsialibu sabato yangu mie...
 
Baada ya kua wenyewe kwa nyakati tofauti kuniletea malalamiko yenu, nimelazimika nimichaneni live tu!
Haina jinsi , kwani wenyewe ma'Bidada wamedai wakiwaambia huko mlipo mwajitoa fahamu na kisha hamtekelezi.

Wadada ama Mashori or whatever (waite upendavyo)
miongoni mwao wakiwemo Ma'aunt waandamizi kama sio wafawidhi hapa Jeiefu , wanadai mnawatesa na kuwanyima ladha asilia mnapokua mnapeana TENDO TAKATIFU !

Kero lao kubwa wanasema hamtaki ama kwa maksudi au ni kwa uzembe tu kukata MAKUCHA ya vidole vyenu vya mikononi .
Kwamba mnapo visit maeneo ya BIG G SPORTS CLUB na mikucha ka'reki ya kuvutia majani , kwao starehe hugeuka nakua karaha!

Wanaume wenzangu hii ni msg kwenu ya maboresho , na wala si ya dhalilisho hebu tubadilike.
Kucha tu? Jamani hadi tunangwe?
Nawasilisha.

jajimenti ulikimbiwa nini maana mishoati ya siku hizi ni ufedhuli mwanzo mwisho...
 
Back
Top Bottom