Mkanda Utanichafua meeen!!! tufunge mikanda kwenye magari

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,160
Points
2,000

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,160 2,000
Heshima kwenu brothers and sisters..

Bado nina masikitiko kifo cha comedian anaenipa raha sana nikimuona as anapunguza sana stress kwa vicheko

Baada ya taarifa za vyombo vya habari as ajali ilivyotokea nimegundua sharobaro alikuwa ajafunga mkanda wakati anaendesha gari tena safari ndefu,, na kwa jinsi navyomjua swaga zake aligoma kufunga as "unajua bab mkanda utanichafua meeen"

Na imani angefunga mkanda asingetupwa nje wala kujigonga gonga na airbag ya harrier yake ingewai kumcover wakati gari inapata ajali..

So wadau wote mfunge mikanda hata kama inawachafua meeen...

Maana kwenye mabom gongo la mboto aliambiwa shharobaro lala chini mabomu yanalipuka akajib kuwa chini atachafuka meeeeen,, anaaambiwa tukimbie mabomu anasema ngoja ni kabath na kuvaaa supra meeeeen
 

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,194
Points
2,000

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,194 2,000
niko kwenye basi nikiangalia hivi kama wapo waliofunga mikanda ya magari basi hawazidi watatu sijui watanzania tuna matatizo gani..
 

luhala

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
412
Points
0

luhala

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
412 0
Lakini kuna ukweli kwamba katika baadhi ya mabasi ya abiria mikanda huwa kama shoo ya kuwazuga matrafiki wapenda rushwa kwani inakuwa na kasoro kadhaa kama udogo kiasi cha kutoweza fungika, mibovu na michafu kweli kweli. Naona wahusika wa ukaguzi wazingatie haya na ,mamlaka husika ziweke 'standard' za mikanda katika magari ya umma.
 

Forum statistics

Threads 1,389,283
Members 527,879
Posts 34,022,069
Top