Wakati wa kusema langu la rohoni

Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,709
Points
2,000
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,709 2,000
Kifo cha Sharo kimeniuma, kutoka moyoni angefariki walau Kinana, Abraham kuliko huyu jamaa ambae alikuwa anatusogezea siku kwa cheko na kutusahaulisha matatizo japo kwa muda mfupi.
Najua angefariki Kinana, au hata Sophia Simba tungefanza maziko mamoja ya kitaifa afu tungekuwa tumeondokana na kero zao once and for all.
Roho imeniuma, na kuuma na kuuma! Sema ndo vile Mungu haulizwi...
#NoHardFeelings #
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,148
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,148 2,000
ushuzi mtupu...
We nawe ni great thinker?
 
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,340
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,340 0
Kifo cha Sharo kimeniuma, kutoka moyoni angefariki walau Kinana, Abraham kuliko huyu jamaa ambae alikuwa anatusogezea siku kwa cheko na kutusahaulisha matatizo japo kwa muda mfupi.
Najua angefariki Kinana, au hata Sophia Simba tungefanza maziko mamoja ya kitaifa afu tungekuwa tumeondokana na kero zao once and for all.
Roho imeniuma, na kuuma na kuuma! Sema ndo vile Mungu haulizwi...
#NoHardFeelings #
pole sana mkuu,kazi ya Mungu haina makosa.
Yote kwa yote mpende adui yako na usimwombee yeyote kifo.
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,709
Points
2,000
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,709 2,000
pole sana mkuu,kazi ya Mungu haina makosa.
Yote kwa yote mpende adui yako na usimwombee yeyote kifo.
Kinana ameua tembo...
Is there any reason for what I should not wish him a sudden death? Hembu nishawishi.
 
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
Hebu toa uharo hapa!!
Wewe nani hata uombee vifo wengine?
You are a great sinker.
 
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
10,709
Points
2,000
Mphamvu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
10,709 2,000
Hebu toa uharo hapa!!
Wewe nani hata uombee vifo wengine?
You are a great sinker.
Potelea mbali...
Kwani unapoomba nchi yako ishinde vita unakuwa unaomba nini in real sense, si unataka askari wa wapinzani wafe? We wa wapi...
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Have you ever been happy about someone's death? As if you have no reason it's wron to be happy for someone died .
It depend on the reason why you are happy abt someone dying !!
In real life wishes consist at happy circumstances .
Wishes you a happy birthday !
Or thank them .......
Aslo death notice whether casual or elaborate , will only make everyone uncomfortable and cheapen the passin' of the deceased .
Ikumbukwe Death is for many of us! The gate of hell but we are inside on the way out !! Not outside on the way in !
Very very sad .
 
But why Sharo na sio Kinana au Mang'ula...
 
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
5,823
Points
1,500
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
5,823 1,500
Mh!!
Invisible,hawa ndio great thinkers wako wa siku hizi!!
 
Last edited by a moderator:
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
Dah..! Hii ni hatar.. Pole sana kwa uchungu ulionao Mphamvu.
 
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
Dah..! Hii ni hatar.. Pole sana kwa uchungu ulionao Mphamvu.
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Angalau wewe umeujua uchungu wangu...
Nashukuru mdau!
The bitter sorrow as a resultin frm or expressive of severe grief, anguish or disappointment! So far siungi mkono kufarahia kifo cha binadamu mwenzangu!
Incase awe ametishia uhai wangu directely na sio indirecte!
Hao unaowatakia kifo wamekutenda kipi kikubwa mno and cause you cried with bitter tears? The basic cause of bitterness is sin and the guilt it produces.
An individual with guilty concience!! Often become bitter ...............!
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,114
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,114 2,000
vipi kama ungekufa wewe badala ya hao unaowataja?
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,691
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,691 2,000
Kweli watz wamechoshwa, wamewezwa na wanazidi kusonga mbele
 
Forum statistics

Threads 1,294,737
Members 498,025
Posts 31,186,415
Top