Ntakukumbuka daima Sharobaro!

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,518
2,000
Hellow CC
Binafsi nimeumizwa sana na huu msiba wa Sharobaro coz nilikuwa nampenda sana kuliko msanii yeyote nchini. Kwa kweli nimepoteza furaha yote..kifupi niko kwenye majonzi sana.
Naomba tujumuike kumuombea na binafsi ntakuwa kwenye maombolezo hadi baada ya mazishi.
Hivyo naomba tuonane baada ya mazishi yake!
RIP Sharobaro!

I remain
Erickb52
 

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,117
2,000
"Tutakukumbuka daima milele (sharo milionea) ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu"

pole Erickb52 na watanzania kwa ujumla!!
 
Last edited by a moderator:

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Najua mtasema ila ndo hvo.
:rip: my X wangu Hussein Ramadhan Mkeity.
(Sitaki maswali)
 

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Nendeni kule jukwaa la Picha, Amavubi kaweka picha yake baada ya kupata ajali na kufariki.
Aisee inatisha,yahtaji moyo kuangalia.
R.I.P Mkeity
 
Last edited by a moderator:

Blue G

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
5,173
2,000
Pole sana Erickb52.Tupo pamoja katika kuhuzunika kwa huyu msaniI wetu.With sympathy all the TANZANIAN'S.
 
Last edited by a moderator:

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,911
2,000
Pole sana Erickb52 kwa kumpoteza role model wako. Pia pole sana sana Madame B kwa kumpoteza boy friend wako wa kale na ambaye alikuja kubaki kuwa brother kwako naye akakufanya dada baada ya kushindwana. RIP SHARO MILIONEA meeen!
 
Last edited by a moderator:

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Pole sana Erickb52 kwa kumpoteza role model wako. Pia pole sana sana Madame B kwa kumpoteza boy friend wako wa kale na ambaye alikuja kubaki kuwa brother kwako naye akakufanya dada baada ya kushindwana. RIP SHARO MILIONEA meeen!
Khaaaaa.....
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Erickb52,
Mkuu pole sana ninaweza kuhisi ni namna gani umeguswa na huu msiba kwa kuangalia tu maneno machache uloyaandika.
Pole hizi pia ziwafikie wapenzi wote wa michezo ya maigizo na miziki ya Kitanzania, bahati mbaya mimi si muumini wa hizo sekta zote mbili...
Msiache kusali maana hamjui/hatujui siku wala saa hatma za maisha yenu/yetu itakapowadia....
Wasalam....watu8
 
Last edited by a moderator:

jeuri

New Member
Nov 17, 2011
4
0
swaga zake ziliweza kuwakonga almost watu wa rika zote esp. watoto "umebug men" kujipangusa bega, kushoto, kulia. style yake ya kutembea, nywele, we shall miss him so much, RIP
 
Top Bottom