Akili KumKichwa....

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,595
Points
1,250

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,595 1,250
Nyumba ya Juma na mkewe Siwema ilivamiwa
na majambaz,baada ya kuiba yakapanga
kuwaua wote,ila kabla ya kuua, yaliamua
kuwauliza maswal:
JAMBAZI:"we mwanamke unaitwa nan?"
SIWEMA:"Mm naitwa Siwema"
JAMBAZI:"Ww umesalimika maana jina lako
linafanana na jina la mama yangu"
"Ehee!..na ww mwanaume unaitwa nan?"
JUMA:"mm naitwa Juma ila kazini wananiitaga
Siwema"
 

Forum statistics

Threads 1,390,645
Members 528,220
Posts 34,057,453
Top