• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Zinduna talk show na MMU talk show next week awe Natalia

MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,160
Points
2,000
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,160 2,000
Wadau ni aje?

Viongozi wa hiyo show fanyeni mpango mamaaa midolari ya cristmass awepo mjengoni next week ili tujue mshiko tutaupata vipi?

Najua natalia akiwepo nitacheka ninenepe mimi maana majibu yake yalivyo mbona Tutakimbiana humu...

Mke ya muzungu, mtoto ya fisadi, mmiliki wa nyumba 2 new york na CT, mgawa dola za cristmass, degree zake za havard sijui washington dah sifa haziishi atakuja kuzielezea mwenyewe kwenye mahojiano..

Zinduna, Lara 1 na wengineo wazee wa show naomba mtuwekeee hiki kiumbe cha kwa obama
 
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
2,206
Points
1,250
Don Mangi

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
2,206 1,250
hahaha muacheni dada angu Natalia
 
Last edited by a moderator:
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,337
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,337 0
sweetlady Mamndenyi BADILI TABIA na Kipipi nawauliza hivi: hamjamboooooooo?????
Mwenzenu niko nchwiiii nakula ngwasuma kwa fuuuuujo hapa makumbusho,njooni basi............
 
Last edited by a moderator:
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,337
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,337 0
Bora hata ungenialika kwenye Swahili Fashion,
Au La Prima kwa King Kikii.
upo kwa king kikii? ngoja nimalizie mkorogo wangu wangu wa sminofu,amarula,jeidii na klabuthoda kisha nisogee ubaazi huo,kiona kibabu tumbo kubwa mvi kibao hakijafunga zipu kinaingia hapo basi jua ni bishanga,me coming.
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,748
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,748 0
upo kwa king kikii? ngoja nimalizie mkorogo wangu wangu wa sminofu,amarula,jeidii na klabuthoda kisha nisogee ubaazi huo,kiona kibabu tumbo kubwa mvi kibao hakijafunga zipu kinaingia hapo basi jua ni bishanga,me coming.
Sipo huko ila ungenialika ningeshakuja . . .
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,729
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,729 2,000
Yaani MKATA KIU una maakili! Kwa kweli natalia ndo awe mgeni wetu. Ila naomba snowhite asiwe mgeni rasmi wala wa heshima., atatuharibia show.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
14,867
Points
2,000
Arushaone

Arushaone

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
14,867 2,000
Alafu we una utani na mimi??
Kwa wazee kama mimi, ni wazi Bishanga alikuchomesha mahindi tangu post ya saa 7 mpaka hapo unavolalamika ishafika saa 9 na alfajiri! uongo Kipipi? mdada wa town kaingizwa town na mzee!
 
Last edited by a moderator:
CharmingLady

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,135
Points
2,000
CharmingLady

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,135 2,000
sweetlady Mamndenyi BADILI TABIA na Kipipi nawauliza hivi: hamjamboooooooo?????
Mwenzenu niko nchwiiii nakula ngwasuma kwa fuuuuujo hapa makumbusho,njooni basi............
afu bepari la kihaya ucku kucha unawaalika watu ngwasuma.... je we ni shareholder huko... inaoneshwa ngwasuma haikuwa na watu.... au umepata ule mkoppo toko pride nini????make kila thread unaalika tu.......
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,402,820
Members 530,989
Posts 34,405,902
Top