Rules goes thus:
I will write a word and then you answer with the first word that comes into your head.
An example is:
I write - Sky
You write - clouds
The next person writes - Rain
and so on.
nimekuta watu wanabishana sana kuhusu hili. mi kwa upande wangu sioni ubaya wowote zaidi naona faida tu. hebu fikiria mauaji ya Rwanda bila kuwekwa mitandaoni na magazetini watu wengine si...
Nikiwa kwenye Mishe mishe zangu,Gafla nakutana na kundi la vijana 2 na wadada 3,wakijadili uaminifu katika mahusiano,Mchangiaji mmoja akasema wote si Ke Wala Me vicheche tu kasoro wale Wadada...
Kichwa cha habari kinahusika.
Hapo jana tarehe 29/11/2012 Nilitoa tamko kuhusu uhusiano usiofaa cina ya Madame B na Chimbuvu na nikatoa maagizo ya nini wafanye wahusika kabla ya saa tano...
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa...
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
KWENDA KWA;SCREENING COMMITTEE The Boss Mamndenyi Ruhazwe JR
COPY;mwenyekiti wa kuratibu mahusiano na ndoa chitchat 2012 Baba V
COPY:@Arushaone Mamzalendo
COPY:@judgement BADILI TABIA...
Naona ndani ya wiki mbili thread za ndoto zimefululiza Chit-Chat,hadi jana wengine kuota vifo vya wenzao.
Sasa nadhani ni wakati muafaka Chit-Chat tuanzishiwe sub-forum ya ndoto,ili wenye vipaji...
Hapo mwanzo Mungu alipoumba dunia akaitengeneza Ulaya na milima na barafu kali kila mwaka,
Kisha akatengeneza Marikani nako akawatupia hali hiyo ya hewa ya kila mwaka kuwa katika msimu wa barafu...
hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.
kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu...
1.Je mnakumbuka timbwili za Mwalimu Singano na harakati zake za umwagiliaji matuta ya mchicha na Nyanya wakati wa asubuhi?.Sijui mwalimu yupo au amekwisha staafu?.
2.Je habari za summit na kwenda...
Kichaa mmoja alikuwa anatembea zipu ya suruali ipo wazi na huku kamshikilia mzee (m b o o ) akakutana na dokta
Dokta; mbona umemshikila mzee nje nje
Kichaa; kaishakufa huyu
Siku ya pili akirudia...
naitaj kujua kama wana jf chit chat utamruhusu mtoto wako agombee mashindano ya umiss na kama autoweza mruhusu ni kwa sababu zip,na ukimruhusu ni kwa sababu zip?
aya tiririkaa
Stori za mapenzi zimezidi ilhali mmu ipo. Simaanishi kinyume chake tulete stori za kugombana, laghasha! Ni changamoto tu kwamba tuwe wabunifu zaidi kwani kuna vitu vingine vingi vya kupost zaidi...
dear Jf friends and chitchatters,
ngoja niswitch language...
mmmmhh(naguna kuweka koo poa)
hope hamjambo marafiki wa jf na wanachichat kwa ujumla.
hatimae ni mwisho wa mwaka, sio wote...
Zuzu mmoja alinunua
gazeti,alipofika nyumbani tu
akaenda kuliweka ndani ya friji.
Mama yake aliyekuwa amekaa
sebuleni akashangaa
akamuuliza,"Mbona umeweka
gazeti ndani ya friji?"
Zuzu...
Wapenzi leo siku yangu imeisha vibaya kweli,baada ya kazi nikawa nimekumbuka song flan hivi la Westlife maaana mi ni
shabiki wao toka kitambo enzi za cost to cost hadi Lighthouse.Sasa hilo song...