SCREENING COMMITTEE:Chimbuvu & Madame B

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
KWENDA KWA;SCREENING COMMITTEE The Boss Mamndenyi Ruhazwe JR
COPY;mwenyekiti wa kuratibu mahusiano na ndoa chitchat 2012 Baba V
COPY:mad:Arushaone Mamzalendo
COPY:mad:judgement BADILI TABIA


yah:kurasilimisha mahusiano baina ya Madame B NA Chimbuvu

rejea kichwa cha habari,nimepokea barua toka kwa mwenyekiti kwa masikitiko makubwa inayonihitaji kuvunja mahusiano kwa ghafla.najua ana lengo zuri na mahususi katika kuendeleza mwenendo na tabia njema katika chitchat,nampongeza kwa hilo Baba V.
KWA KWELI NIMEAMUA KULETA TAARIFA RASMI katika kamati ya screening kuhusiana na mahusiano niliyonayo na Madame B,KABLA YA KUCHUKUA HATUA ZAIDI.Naomba tume ikae kwa ajili ya kupitia ombi let mimi na Madame B.
na kama kuna mtu mwenye pingamizi tafadhali siku ya kunitangaza ndio anatakiwa kujitokeza na kutoa pingamizi mbele ya kamati na mbele ya sisi wahusika kwa pamoja yaani Chimbuvu na Madame B.
Kwa kweli naomba kamati ipitie ombi langu kwa umakini mkubwa kabla ya kuchukua maamuzi ambayo badala ya kujenga yataumiza wengi na pia kabla tume haijachukua hatua yeyote tukae chini wote tulizungumzie na kama kutakuwa na mwenye pingamizi awepo naye siku ya tukio asante.
je ni nani kati yenu ambaye hajawahi kutenda kosa?basi na awe wa kwanza kurusha jiwe kwa Chimbuvu & Madame B
ASANTE
Chimbuvu & Madame B
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
53,008
Points
2,000

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
53,008 2,000
mie ngoja nijifiche huku uvunguni, mkimaliza timbwili lenu niiteni kuja kukifinya kipunga maana sherehe lazima ituhuuu!!
 

Forum statistics

Threads 1,392,858
Members 528,736
Posts 34,120,160
Top