Chitchat kama Bongoflavor

Chitchat kama Bongoflavor

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
604
Stori za mapenzi zimezidi ilhali mmu ipo. Simaanishi kinyume chake tulete stori za kugombana, laghasha! Ni changamoto tu kwamba tuwe wabunifu zaidi kwani kuna vitu vingine vingi vya kupost zaidi ya mapenzi
 
Ni tafsiri yako tu, ni zaidi ya ulichoona tena kwa tafsiri ya jukwaa husika
 
Jamaa wewe inaonekana mvivu kusoma post zingine, ndio maana unaona post za maloveee tu
 
unataka tuanze kusoma magazeti au kuimba nyimbo za cheichei ndio utafirwahi.
 
Mkuu sasa we si uposti mada yako lingine
 
Jina langu sio la kutolea mapepo wewe,ntakufungulia kesi

mbona huwa mkiwa mmejifungia chumbani Madame B, haishi kusema "jamani Chimbuvu usitoe, plzzz usitoe"...kwa kuwa watu8 ni mcha Mungu basi nikajua huwa watoa pepo??
 
Last edited by a moderator:
ujana maji ya mato, wacha tunywe chai na kahawa kabla maji haya ya moto hayajapoa
 
Back
Top Bottom