hivi kuna ubaya gani kuweka picha za mtu aliyefariki mtandaoni?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,647
2,000
nimekuta watu wanabishana sana kuhusu hili. mi kwa upande wangu sioni ubaya wowote zaidi naona faida tu. hebu fikiria mauaji ya Rwanda bila kuwekwa mitandaoni na magazetini watu wengine si wangekua wanabisha? au mauaji ya wayahudi ambayo baadhi ya watu wanayabishia kungekuwa hamna picha si ingekuwa balaa?. pia naona picha zinasaidia sana kutoa fununu za ajabuajabu kama watu kuhusishwa na ufreemason na wengine kuambiwa wamekufa na vyanzo ambavyo sio. je we unamaoni gani?.afu bila kusahau, jama kuna mtu ana buku tano hapo aniazime nikanunue viroba mshahara ukitoka ntamrudishia.
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,626
2,000
Nikosa kubwa hata kanuni za adhabu zinaonesha hivyo! Unapo fanya hivyo unakuwa una waumiza wengine hasa watu wake wa karibu bila kujua!

Na unatakiwa ku publish au kuweka mitandaoni baada ya kupewa ruhusu kutoka kwa waziri wa afya! Lakini huku kwetu tunaishi kama tuko polini, maana mwili wa mtu unatumiwa kufanyia biashara bila kujua ni kosa hata wanao zisimamia hizo sharia wanaona zinavunjwa na wananyamaza, sasa kwa nini watu wasivunje?
Kwenye kanuni za adhabu( penal code 2002 cap 16 wameanisha vizuri ukianzia kifungu cha 127 na 128 ukipata muda pitia hasa kifungu cha 128. Na wameelezea vizuri kuhusu kuheshimu wafu na maeneo wanayo lazwa wafu!
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,614
2,000
Anayethibitisha ufu wa mtu ni daktari, sasa wewe unataka picha za nini??
 
Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,410
2,000
kuna kitu inaitwa utu ndio ina mguide binadamu
Lakini wapo wanao taka hata kutembea uchi na haoni tatizo kama ilivyo kwako
 
Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,563
2,000
Nikosa kubwa hata kanuni za adhabu zinaonesha hivyo! Unapo fanya hivyo unakuwa una waumiza wengine hasa watu wake wa karibu bila kujua!

Na unatakiwa ku publish au kuweka mitandaoni baada ya kupewa ruhusu kutoka kwa waziri wa afya! Lakini huku kwetu tunaishi kama tuko polini, maana mwili wa mtu unatumiwa kufanyia biashara bila kujua ni kosa hata wanao zisimamia hizo sharia wanaona zinavunjwa na wananyamaza, sasa kwa nini watu wasivunje?
Kwenye kanuni za adhabu( penal code 2002 cap 16 wameanisha vizuri ukianzia kifungu cha 127 na 128 ukipata muda pitia hasa kifungu cha 128. Na wameelezea vizuri kuhusu kuheshimu wafu na maeneo wanayo lazwa wafu!

Ufafanuzi wako umetosha. Ni wakitaalamu sana. Big up Loya.
 
Catherine

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,261
0
Nikosa kubwa hata kanuni za adhabu zinaonesha hivyo! Unapo fanya hivyo unakuwa una waumiza wengine hasa watu wake wa karibu bila kujua!

Na unatakiwa ku publish au kuweka mitandaoni baada ya kupewa ruhusu kutoka kwa waziri wa afya! Lakini huku kwetu tunaishi kama tuko polini, maana mwili wa mtu unatumiwa kufanyia biashara bila kujua ni kosa hata wanao zisimamia hizo sharia wanaona zinavunjwa na wananyamaza, sasa kwa nini watu wasivunje?
Kwenye kanuni za adhabu( penal code 2002 cap 16 wameanisha vizuri ukianzia kifungu cha 127 na 128 ukipata muda pitia hasa kifungu cha 128. Na wameelezea vizuri kuhusu kuheshimu wafu na maeneo wanayo lazwa wafu!

thread closed.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom