Nimeumia sana,nimesikitika sana,nimefadhaika sana!...

Nyakwec's Bro

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
820
174
Wapenzi leo siku yangu imeisha vibaya kweli,baada ya kazi nikawa nimekumbuka song flan hivi la Westlife maaana mi ni

shabiki wao toka kitambo enzi za cost to cost hadi Lighthouse.Sasa hilo song ninalo kwenye tape na walkman yangu

ninaiona mzigo ikabidi niutafute Youtube hapo ndy balaa lilipoanzia si nikakutana na hii heading Congratulations Mark

and Kevin!(Engaged)!
ilinishtua Mark ninajua ni star wa Westlife sasa Kevin tena engaged basi sikujari sababu

mawazo yangu yalikuwa kwenye hilo song nilipolipata ndy ikabidi nirudi kwenye hy video nione huyo kevin ni msichana

au mvulana na hiyo engagement gani?...

Mama yangu wee!... nikakuta jamaa kumbe anamahusiano na shoga duh,hata sikuamini ikabidi nigoogle kama kawa ndy

nikapata hizo data vizuri na pia kumbe jamaa waliachana mwaka jana baada ya kudumu miaka 6.

Sasa chakushangaza wakati mm ninasikitika huyu jamaa kujihusisha na mambo hayo nikakuta mamia ya watu

wanasikitika kwa comments zao baada ya Mark kutangaza kwenye tweeter kwamba ameachana na Kevin aiseee.

Ninawapenda sana hawa jamaa japokuwa sikuwa ninafatilia saana mambo yao binafsi zaidi ya majina yao na

kinachoendelea kwenye Band.

Kwakweli hizi habari zimenichosha mno hata wimbo wangu nimeshindwa kuusikiliza!............
 
Aaah mi nilikuwa hatua za mwisho kumalizia series za "how I met your mother" kuna jamaa humo anachekesha balaa anatongoza kila mwanamke,yani ye ndo kidume mle,anaitwa Barney jina la usanii jina halisi Neil Harris Patric,kuja kusoma habari zake kumbe shoga na ameolewa,nimekatika mpka nimekosa kuangalia ham ya series mpaka leo
 
Barney Stinson, sikuamini kuwa Jamaa ni Chakla aisee. Lege, wait for it........... Ndaryyyyyyyyyyyyy!!!!
barney-stinson-bro-code.jpg
 
Mkuu inasikitisha sana yaani hata mood linaisha kabisa la kuwa fan wake!
Aaah mi nilikuwa hatua za mwisho kumalizia series za "how I met your mother" kuna jamaa humo anachekesha balaa anatongoza kila mwanamke,yani ye ndo kidume mle,anaitwa Barney jina la usanii jina halisi Neil Harris Patric,kuja kusoma habari zake kumbe shoga na ameolewa,nimekatika mpka nimekosa kuangalia ham ya series mpaka leo
 
MI huwa nasikiliza nyimbo za Elton John (Sir, Sick) kwa masikio matatu...muziki nautaka.....mtu mwenyewe sasa....daaaamn
 
Huyo jamaa mi nilishaacha kumwita sir kitambo sana,nasikia anamtoto mmoja anategemea wapili hivi karibuni.Jamani dunia inamambo!
MI huwa nasikiliza nyimbo za Elton John (Sir, Sick) kwa masikio matatu...muziki nautaka.....mtu mwenyewe sasa....daaaamn
 
Dah zimenisumbua sana hizi walkman nikienda dukani sony walkman mpya nikaambiwa laki na nusu duh,nitaitoa wapi mm!.Nikaja kupata duka moja la used kariakoo nikapata sony ya ukweli sana kila mtu akiiona lazima aishangae
Mie ninayo tena ya Sony....
 
Back
Top Bottom