Habari moto moto

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
0
Zuzu mmoja alinunua
gazeti,alipofika nyumbani tu
akaenda kuliweka ndani ya friji.
Mama yake aliyekuwa amekaa
sebuleni akashangaa
akamuuliza,"Mbona umeweka
gazeti ndani ya friji?"
Zuzu akajibu,"Wameandika lina
habari motomoto acha zipoe kiasi
ndio nizisome!"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom