YAH:Utekelezaji wa maazimio dhidi ya madame b na chimbuvu

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
9,496
Kichwa cha habari kinahusika.

Hapo jana tarehe 29/11/2012 Nilitoa tamko kuhusu uhusiano usiofaa cina ya Madame B na Chimbuvu na nikatoa maagizo ya nini wafanye wahusika kabla ya saa tano asubuhi hii.Maagizo hayo yalikuwa ni

i. Madame B akiri kuwa yeye ni
mke halali wa Ruttashobolwa
kama inavyofahamika hapa na
aombe msamaha kwa wana chit
chat wote kwa usumbufu
aliousababisha.
ii Chimbuvu atoe tamko rasmi la
kuachana na Madame B na
aombe msamaha kwa usumbufu
aliowasababishia wana chit chat
wote.

Kinyume na maagizo yanavyoelekeza wahusika wameamua kufanya yafuatayo aidha kwa kutoelewa walichoagizwa au KWA MAKUSUDI ili kukwepa walichoagizwa
i. Wameamua kupeleka maombi yao kwenye kamati ya SCREENING ilhali ripoti ya kamati ilishakuja kwangu na kuthibitisha kuwa Madame B bado ni mke halali wa Ruttashobolwa
ii.Wanaomba waruhusiwe kuwa na uhusiano ilhali bado hawajakamilisha maagizo.
UAMUZI
Awali nilisema adhabu watakazopewa wahusika zitaanza kutekelezwa baada ya saa tano asubuhi hii iwapo hawatatekeleza maagizo ambayo KIMSINGI bado hayajatekelezwa, hivyo ADHABU ZIKO PALEPALE. Kwa kujali utu na kuzingatia kuwa inawezekana wahusika hawakuelewa maagizo. Nawaongezea masaa matatu na nusu hadi hapo saa tisa kamili alasiri leo wawe wametekeleza maagizo, ama sivyo ADHABU zitaanza kutekelezwa maramoja.Kumbuka adhabu hizo ni
.
i Madame B na Chimbuvu
kutopewa LIKE na mwana chit
chat yeyote katika post zao.
ii.Kuto QUOTE post yoyote ya
Madame B au Chimbuvu .
iii.Kuwekwa hadharani kwa picha
zao ZA AIBU walizopigwa bila wao
kujua.Kazi hii itafanywa na Asprin
na Mtambuzi.
iv.Kusutwa hadharani wote wawili
wakiwa wamevishwa kanga na
kupakwa majivu. Kazi hii
itafanywa na gfsonwin cacico FP lara 1 Ciello na
Zinduna chini ya usimamizi wa
malafyale watu8 huku
ikifadhiliwa na Arushaone na
Bishanga.
 
Last edited by a moderator:

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,279
20,614
Loya analilia penzi la Madame B imebidi aende akamuhonge Baba V ili amnusuru yailai tobaaaaaaaaaaaaaaa! madame b hivi bado unatumia ile asali na maziwa kunawia ama?? kwann iwe hivi.??

kwastaili hii zile shanga mlizoniagiza siwaletei lol! mtamtega sasa hata Invisible na Paw atiiii
 
Last edited by a moderator:

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
2,512
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh Baba V mbona unantia majaribuni?????? mie nimsute mamito wangu????????? haijawahi tokea.........isitoshe mie niko against na haya maamuzi ya kamati yako uyatoayo mara kwa mara kwani nami ni muhanga, kwann msiwaache watu wajinafac kwa raha zao??? hayo mambo ya kufuata protocal yamepitwa na wakati kwa mtazamo wangu, we are in 21st century bana...........

hahahahahahah watu kwakuwa ving'ang'anizi hawajambo!!! loya amtafute Madame B wayamalize wenyewe bana, isitoshe ni kawaida kupata rivals kwenye malovee, ukiona hivo loya we ongeza maujuzi,ka umeshindwa waachie watoto wa mujini wajisevie bana...........

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,010
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh Baba V mbona unantia majaribuni?????? mie nimsute mamito wangu????????? haijawahi tokea.........isitoshe mie niko against na haya maamuzi ya kamati yako uyatoayo mara kwa mara kwani nami ni muhanga, kwann msiwaache watu wajinafac kwa raha zao??? hayo mambo ya kufuata protocal yamepitwa na wakati kwa mtazamo wangu, we are in 21st century bana...........manoah yuko wapi?
 
Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,904
29,124
Loya analilia penzi la Madame B imebidi aende akamuhonge Baba V ili amnusuru yailai tobaaaaaaaaaaaaaaa! madame b hivi bado unatumia ile asali na maziwa kunawia ama?? kwann iwe hivi.??

kwastaili hii zile shanga mlizoniagiza siwaletei lol! mtamtega sasa hata Invisible na Paw atiiii

Shosti nimekoma mieee
ile dawa aliyonipa Mzee Chuchumo kule Muheza imeniweka matatani.
Najuta kunawia Asali na Maziwa mgando.
gfsonwin dada,niokoeni na kadhia hii,na nimeambiwa ina eksipaya jan 2020.
 
Last edited by a moderator:

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,279
20,614
hahahahahahah watu kwakuwa ving'ang'anizi hawajambo!!! loya amtafute Madame B wayamalize wenyewe bana, isitoshe ni kawaida kupata rivals kwenye malovee, ukiona hivo loya we ongeza maujuzi,ka umeshindwa waachie watoto wa mujini wajisevie bana...........
ila Loya wa watu mstaarabu bana huyu Chimbuvu atampeleka kunywa ulanzi tu, wakati loya alikuwa anampatia dompo na valuu tu
 
Last edited by a moderator:

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,904
29,124
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhh Baba V mbona unantia majaribuni?????? mie nimsute mamito wangu????????? haijawahi tokea.........isitoshe mie niko against na haya maamuzi ya kamati yako uyatoayo mara kwa mara kwani nami ni muhanga, kwann msiwaache watu wajinafac kwa raha zao??? hayo mambo ya kufuata protocal yamepitwa na wakati kwa mtazamo wangu, we are in 21st century bana...........

Bora umwambie,amezidi kutufuatafuata sie.
Kila sehemu yupo kama mkia wa kondoo.
Mwambie atuache tuijaze dunia.
BTW Mamito,mbona wanibania ile makitu kule!
 
Last edited by a moderator:

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,904
29,124
hahahahahahah watu kwakuwa ving'ang'anizi hawajambo!!! loya amtafute Madame B wayamalize wenyewe bana, isitoshe ni kawaida kupata rivals kwenye malovee, ukiona hivo loya we ongeza maujuzi,ka umeshindwa waachie watoto wa mujini wajisevie bana...........

Mpe mpe vidonge vyake huyo.
Yani asione chaka,anataka kuingia.
Atuache.
Kuibiana wapenzi ndo Khabari ya Mjini kwa kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
9,496
Bora umwambie,amezidi kutufuatafuata sie.
Kila sehemu yupo kama mkia wa kondoo.
Mwambie atuache tuijaze dunia.
BTW Mamito,mbona wanibania ile makitu kule!

Endelea kudanganywa,
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
2,512
sawa lakini Madame B na Chimbuvu si wamependana na kukubaliana??? loya achape lapa tu, afu ka domo zege vile kwann ahonge watu wampigie debe?? Raha ya mwanamke ni kumwona mumewe anampigania siyo kutuma watu inahuuuu kusaidiwa lol........
ila Loya wa watu mstaarabu bana huyu Chimbuvu atampeleka kunywa ulanzi tu, wakati loya alikuwa anampatia dompo na valuu tu
 
Last edited by a moderator:

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,279
20,614
Shosti nimekoma mieee
ile dawa aliyonipa Mzee Chuchumo kule Muheza imeniweka matatani.
Najuta kunawia Asali na Maziwa mgando.
gfsonwin dada,niokoeni na kadhia hii,na nimeambiwa ina eksipaya jan 2020.
hahahahhaha! mamdogo yuko juu kama dege la obama lol!sasa huyu Loya namuamini rudi tu kwake manake chimbuvu zaid ya kukupeleka kunywa matap tap hana lolote lol!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom