Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,
Last edited by a moderator: