JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naombeni mnijibu kama tutawajoin wenzetu wa arusha kwenda tanga nataka kupanga mambo yangu mapema na baby wangu tafadhali,au mnataka niachike tena? Acheni hizo kama hamtaki semeni na Rejao na...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa...
1 Reactions
180 Replies
11K Views
Jamaa mmoja alikutana na mwanadada mmoja mwenye chunusi nyingi usoni na maongezi yao yakawa hivi; Jamaa; dada samahani unaitwa nani? Dada; naitwa Mwajuma. Jamaa; unatokea wapi? Dada; nimetoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ugua pole madam sweetlady, kukosekana kwako jukwaani leo ilinifanye tuulizane. pole sana nakuombea kwa mwenyenzi mungu akuponye haraka tuendeleze harakati za kimaisha. afu ujue kuna member...
5 Reactions
168 Replies
26K Views
helow eti mapenzi bora ni yapi?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau,nina stress kupita kiasi!! Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress? Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru! Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nashukuru kuwa mmoja wa mwanafamilia wenu kwani nimekuwa nikifuatlia hoja mbalimbali na michango yenu kwa ujumla kwa muda mrefu na ambayo inaelimisha,inaburudisha na pia inaonya kwa wale wanaopotoka.
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Kichwa cha habari chahusika. Nimeletewa taarifa na mmoja wao kuwa baada ya kupima na kupembua namna ambavyo wameshindwa kuwa karibu kithioritikia na kibaiolojia kutokana na umbali wao na majukumu...
4 Reactions
91 Replies
5K Views
Tunaimani na tunaambiwa yakuwa msanii ni kioo cha jamii, je tunaelewa maaana ya huu msemo na nikweli wasanii wetu ni kioo cha jamii? Kioo huwa hakibadishi sura au uhalisia wa mtu/kitu,kioo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa wana jamii, kuna eneo lipo BUNJU A. nahitaji kulinunua, lakini anae hitaji kuniuzia amejitaja kama ndg wa D. BALALI, Msaada ninao uhtaji ni kupata mawasiliano ya watoto au mke wa D.BALALI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuuliza maana unasikia mtu anasema mimi mapenzi yetu hayakuwa ya kuzaa mtoto sasa kama umezaa mtoto mimi sijui!!!.....matokeo yake wanaopata tabu ni akina mama na watoto na pengine...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Duh! Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!! Weeeh! Wacha anilambe ban ya wiki 2!!! Duuh! Nashukuru nimefunguliwa salama! Jela kubaya weweee!!!
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Death came to a guy and said, "My friend, today is your day!" The guy said, "But I'm not ready!" Then death said, "Well, your name is the next on my list...." Guy: "Okay, then why don't you...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
MALIZIA MISEMO IFUATAYO (1)Utamu wa kazi ni "PESA" (2)Utamu wa usingizi ni "NDOTO" (3)utamu wa FACEBOOK ni.......... (4)Utamu wa mapenzi ni.................. (5)toa na wewe ya kwako............
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Wandg namshukuru sana Mungu kwa siku nyngine ya Pekee sana ambayo ni siku ya leo Tar 12/12/2012 ambayo ni siku ya kuzaliwa/ BIRTHDAY nina furaha sana Mungu kunipa Pumzi tena! Na naomba anipe...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Yaani dada zangu kwa hii story ifuatayo mwenzenu amecheza chini ya kiwango.. Mkazi mmoja wa Buza kwa Lulenge (Yombo) anaeitwa Mustapha Mchele amemuua mwanae kwa kumcharaza mapanga baada ya mama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi mwanachitchat mwenzenu yapata mwezi huu nasumbuana na supermoderator Invisible anipe ruhusa kuingia hilo jukwaa ila Invisible kaweka pamba masikioni na mbaya zaidi hanipi sababu. Kwa hiyo...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema, naomba mniwekee vitheluji hapa jf Ili nikiwa nasoma najua kabisa season ishaanza Nianze kununua makoti marefu na kofia, chezeiya snow Nawakilisha. . .
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Umofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Mganga wa tausi ni KA... Kalumanzila La.... Lala salama Ma.... Mama mzazi Zi.... Zizi la ng'ombe Mbe.... Mbele ya nyumba Mba.... Mbali na wewe We............... Du nimesahau muendekezo...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom