Mambo ya kusemezana

Mambo ya kusemezana

Ndetanyau

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
37
Reaction score
4
Jamaa mmoja alikutana na mwanadada mmoja mwenye chunusi nyingi usoni na maongezi yao yakawa hivi; Jamaa; dada samahani unaitwa nani? Dada; naitwa Mwajuma. Jamaa; unatokea wapi? Dada; nimetoka nyumbani nimeagizwa sokoni na mama. Jamaa; umeagizwa nn? Dada; we kaka una maswali mengi kwani we ni polisi. Jamaa akamjibu we mbona una machunusi mengi kwani we ni fenesi?
 
Back
Top Bottom