JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Unaingia Hotelini au Mkahawani na unaagiza supu ya nyama ya ng'ombe.Ukiwa umekaa huku ukisubiri hiyo supu mara anakuja muhudumu na kuuliza nani ng'ombe?Utasemaje?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
binafsi huwa nafikiri kuwa katika matatizo yote duniani theluthi mbili tunayo afrika.tatizo la usafir n sehem ya theluthi hiyo mbili.mataifa ya magharibi na mashariki ya kati huwa na theluthi moja...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Today is tripple twelve 12/12/12/, may i wish u good morning in this fantastic day which will never exist and happened again in our life. GOOD DAY AND BE BLESSED ALWAYS...chit- chat family.
0 Reactions
5 Replies
934 Views
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
4 Reactions
122 Replies
7K Views
Ama kweli Mungu ni wa ajabu leo ni tarehe 12/12/12 ambayo hutokea mara moja na huwa haijirudii tena. Una kipi cha kusema ktk siku ya leo??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kwako Baba V, napendekeza kuundwa kamati ya kuvunja ndoa za watu.uy mwenyekiti Mungi katibu awe Nicas Mtei wajumbe wawe sweetlady, LARA1, Kabakabana, Asprin, Erickb52. ndoa ya kwanza...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna jamaa mmoja mshamba kipindi kile cha ujio wa chupi za V.I.P ,alinunua chupi saba za rangi mbalimbali ili kuwaonyesha watu kwamba amenunua chupi mpya.Ili kujionyesha kama anachupi mpya alivaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Miaka kadhaa iliyopita uliletwa hapa ulimwenguni. Mungu alikuwa na kusudi lake kukuleta ulimwenguni. Hakika inafurahsha na kutia moyo. Sasa ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kukuteua kuendelea...
3 Reactions
152 Replies
8K Views
Nancy: dia nipo kariakoo, kuna jeans nimeiona imeipenda inauzwa 25000 tu, ningenunua sema wallet nimesahau nyumbani, please nirushie tigopesa darling Peter: *150*01#... TigoPesa: Umepokea Tsh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi jf members! heading hapo juu inajieleza, nakumbuka mwaka jana father x-mas kipindi kama hiki alikuwa anagawa sana zawadi za x- mas.......kwa mliopokea nadhan mnakumbuka!!! Nashangaa sasa hv...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni wakati wa kwenda kuoga kwa ajili ya kupumzisha miili yetu, hakikisha unajisugua vizuri ili usichafue mashuka. Usiku mwema Chitchat.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mamboz wana jf jaman wana jf wenzangu me ndo nimejiunga unga hv karibuni humu jf sasa nataka kujua m2 akisema um pm anakuwa anamaanisha nn?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mie, nafikiria twendeni kwa miguu tu huko, tanga' Maana watu wameisha anza kuleta mikosi, maana nayo maneno huumba
0 Reactions
40 Replies
3K Views
kwani lazima usome hap??si uache tu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Madame B, Madame X, Mamndeny, Chagua kati yao hapo juu nikukutanishe nae.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Love comes automatical!
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Dear friends Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat. Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina
3 Reactions
90 Replies
5K Views
1. kama A = B na B = C basi A = C 2. Ng'ombe wote wanakula majani, Tembo anakula majani, kwa hiyo Tembo ni N'gombe. 3. 'CCM ndiyo iliyoshika hatamu Tanzania' according to Y. Makamba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawatakia mchana mwema
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom