wanachit chat ni mafreemason!!

wanachit chat ni mafreemason!!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,556
Reaction score
62,117
Nimefanya uchunguzi wa kina nikagundua hili jukwaa la chit chat linapendwa sana na mafreemason. ukitaka kuamini angalia avator zao, hata mwandiko wao umekaa kifreemason mason. pm zao zimekaa kifreemason, mijadala yao imekaa kifreemason. hata wewe unayesoma hapa ni freemason. Siku nikipewa umoderator kuna watu sita na moderator mmoja watapakimbia na kwenda kujiunga na mitandao pendwa ya udaku tanzania.look very.mia
 
Hahahhahahhhahah.................nilijua tu iko siku na humu yatakuja I was so bored,but thanks guy,nitalala salama leo..
 
siku hizi mtu ukiwa unapost sana chit chat ni freemasonga ukinunua batavuzi wewe freemasonga... hata mia nae ni masonic
 
Back
Top Bottom