DearJF na Members wengine!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
44,160
50,566
Umofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine
Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio
Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine sianzishi uzi hovyo hovyo kama wafanyavyo wengine
na wala sijawahi andika uzi wa kutafuta mchumba kama Watunduru mwingine
na sijawahi mzimikia mod kama alivyofanya lara 1 mwingine ila napenda
mademu sema siwapati wazuri zaidi ya Preta mwingine sipaki powder
kama afanyavyo Muuza Sura mwingine mie rijali sio Boflo mwingine
Nacomment sana ila ma-likes wanapewa wengine

Endeleza na wewe if yuh know what i mean.....
 
Last edited by a moderator:

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,529
11,380

Hahahaaa King Kong III umenichekesha aisee Hapo kwenye Bold naomba ujiandae kutoa ushahidi maana ugomvi wake lol
 
Last edited by a moderator:

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,560
7,073
Umofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine
Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio
Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine sianzishi uzi hovyo hovyo kama wafanyavyo wengine
na wala sijawahi andika uzi wa kutafuta mchumba kama Watunduru mwingine
na sijawahi mzimikia mod kama alivyofanya lara 1 mwingine ila napenda
mademu sema siwapati wazuri zaidi ya Preta mwingine sipaki powder
kama afanyavyo Muuza Sura mwingine mie rijali sio Boflo mwingine
Nacomment sana ila ma-likes wanapewa wengine

Endeleza na wewe if yuh know what i mean.....

kwani Boflo sio rijali mwingine?
 
Last edited by a moderator:

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,343
23,815
Ukitaka kuwawin labda uwa Pm wengine, ukija jukwaani kuna wenye aibu wengine
kama una pesa mtafute lara 1 mwingine, au huoni soo kushea na Filipo mwingine
ingawa kuna magonjwa mengine, yamewashinda MziziMkavu, Riwa na madokta wengine.

oh, jambo moja jingine, kuna Asprin, Mtambuzi Dark City na mababu wengine
unapompata binti mwingine, uliza kama anawajua hawa mababu wengine
akisema yes ama jibu jingine, kimbia fasta maana apo utapata malaria nyingine
usijetulilia wengine, hutapozwa na cacico wala wadada wengine!

chonga na Nicas Mtei au Erickb52 na matozi wengine, wakupe maeneo ya kujirusha na warembo wengine
ila chunga kuna werevu wengine, wanavua pete uwaone kama ma Spinster wengine
kumbe ni mabibi kama Mamndenyi na wabibi wengine, wana watoto Kongosho, King'asti na wajikuu wengine
basi mi naenda kula lunch na mke wangu Catherine na si mwingine, usimshobokee ntakutoa busha kama nlivofanya wengine!
 
Haaaaaa nimekupata Mentor ngoja nifuate ushauri wako najua nitaopoa mrembo mwingine,coz sasa ni mjasilia mali zaidi ya Malila mwingine nina pesa nyingi zaidi ya Money stunna mwingine...
 
Last edited by a moderator:

Catherine

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,261
752
Ukitaka kuwawin labda uwa Pm wengine, ukija jukwaani kuna wenye aibu wengine
kama una pesa mtafute lara 1 mwingine, au huoni soo kushea na Filipo mwingine
ingawa kuna magonjwa mengine, yamewashinda MziziMkavu, Riwa na madokta wengine.

oh, jambo moja jingine, kuna Asprin, Mtambuzi Dark City na mababu wengine
unapompata binti mwingine, uliza kama anawajua hawa mababu wengine
akisema yes ama jibu jingine, kimbia fasta maana apo utapata malaria nyingine
usijetulilia wengine, hutapozwa na cacico wala wadada wengine!

chonga na Nicas Mtei au Erickb52 na matozi wengine, wakupe maeneo ya kujirusha na warembo wengine
ila chunga kuna werevu wengine, wanavua pete uwaone kama ma Spinster wengine
kumbe ni mabibi kama Mamndenyi na wabibi wengine, wana watoto Kongosho, King'asti na wajikuu wengine
basi mi naenda kula lunch na mke wangu Catherine na si mwingine, usimshobokee ntakutoa busha kama nlivofanya wengine!

mmmh! Makubwa!
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,181
14,319
Ngoja na mimi nipite kivingine
Maana uzi huu umekaa kivingine
Kama hujui maana yake kivingine
Utaachwa kwenye mataa bila maana kivingine King Kong III leo nae kaja kivingine
 
Last edited by a moderator:

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,520
868
Mh! aya maswali mengine, yananifanya nijiulize kama wewe sio mteja wake mwingine!!!!!:cheer2:
mkubwa usiwe na fujo kama wana jf wengine,huu ni ugomvi wa waziwazi mwingine
kama unabisha payuka neno lingine, utamtambua kama Bofloni rijali mwingine
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

10 Reactions
Reply
Top Bottom