Mods,hamtaniwi!!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,752
1,311
Duh!
Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!!
Weeeh!
Wacha anilambe ban ya wiki 2!!!
Duuh!
Nashukuru nimefunguliwa salama!
Jela kubaya weweee!!!
 
Huo sio utani mzuri!!Shukuru Paw kakutwanga wiki mbili ingekuwa ni Mungi au Arushaone ,ungetoka lockup next year (9thDec 2013)
 
Last edited by a moderator:
Utani wa kumchuria Paw kifo hata mimi ulinikera hasa! Acha huo utani hata kwa mtu mwingine yeyote. Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Na wewe umeokoka au ni mpango mkakati wa kumpata huyo bibie?

simba mwenda pole ndiye mla nyama...hizo ni swagg za kukatafuna haka kadada kapya kenye jina la kidhungu kanakotembea na baibo hadi CC....namuonea huruma shem Madame B
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Duh!
Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!!
Weeeh!
Wacha anilambe ban ya wiki 2!!!
Duuh!
Nashukuru nimefunguliwa salama!
Jela kubaya weweee!!!

Ilikuwa jukwaa gani ilikupeleka sero mkuu? manake Paw huku anapitaga tu.......... otherwise ameuza timu afu ukapigwa na wakubwa wa jukwaa hili
 
Last edited by a moderator:
hata mimi naungana na wewe uncle.... Erickb52 mpoteze kabisa....au tuanze maandamano ya afungiwe........

Hahaaaaaa uncle ngoja tuangalie kwalifikesheni ya umods tuombe........ halafu tunaanzia na huyu toto tundu Erickb52 anakula life ban
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom