Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Ugua pole madam sweetlady, kukosekana kwako jukwaani leo ilinifanye tuulizane.
pole sana nakuombea kwa mwenyenzi mungu akuponye haraka tuendeleze harakati za kimaisha.
afu ujue kuna member leo kaiba id ya nitonye kajifanya ye ndo nitonye, eti ndoa yake na wewe inavunjika. ashindwe na alaaniwe.
najua kuna wengine watauliza kulikoni lakini ukweli ndo huo, tumwombee mwenzetu sweetlady apone haraka.
NB:
Majungu ruksa

Last edited by a moderator: