Msaada

Msaada

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Wapendwa wana jamii, kuna eneo lipo BUNJU A. nahitaji kulinunua, lakini anae hitaji kuniuzia amejitaja kama ndg wa D. BALALI, Msaada ninao uhtaji ni kupata mawasiliano ya watoto au mke wa D.BALALI ili kujilidhisha kama halina mahusiano na famili hiyo ni nunue.
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh! udaku/joke ya leo ni noma
 
Wapendwa wana jamii, kuna eneo lipo BUNJU A. nahitaji kulinunua, lakini anae hitaji kuniuzia amejitaja kama ndg wa D. BALALI, Msaada ninao uhtaji ni kupata mawasiliano ya watoto au mke wa D.BALALI ili kujilidhisha kama halina mahusiano na famili hiyo ni nunue.

R u serouz?
 
Back
Top Bottom