TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

TANGAZO: YAH: Kuvunjika kwa couple hii

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Kichwa cha habari chahusika. Nimeletewa taarifa na mmoja wao kuwa baada ya kupima na kupembua namna ambavyo wameshindwa kuwa karibu kithioritikia na kibaiolojia kutokana na umbali wao na majukumu yao katika kujenga taifa, Judgement na beibe nasty wameamua kuvunja couple yao. Wamefanya maamuzi hayo kwa kukubaliana wao wenyewe bila shinikizo kutoka upande wowote. Nachukua fursa hii kama mwenyekiti wa tume ya mahusiano na ndoa hapa chit chat kwa waliokuwa wanandoa Judgement na beibe nasty kuwapongeza kwa kujadiliana na kufikia muafaka kistaarabu. Aidha natumia nafasi hii kutangaza KUVUNJIKA RASMI kwa couple hii na kuwatakia kila mmoja wao kila la kheri katika maisha yao mapya.

Baba V .
Mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa chit chat 2012
 
Last edited by a moderator:
Nipigie pande ni mmiliki huyo Jud....

Baba V,
Wewe ukiwa m/kiti, umefanya juhudi gani kuokoa ndoa hiyo isivunjike?
 
Ndugu yangu Filipo tutambue kuwa uwepo wa ndoa ni matokeo ya mutual consent btn wanandoa,wakikubaliana wao wawili tunaweza tukawa tunafanya kosa kubwa ku intervene kisa inatupendeza SISI kuona ndoa ipo ilhali wanandoa wanaona ni mzigo kwao
 
Last edited by a moderator:
Ndoa zinavunjwa kama vyupa vile...heshima ya ndoa i wapi jamani?

Heshma ya ndoa inakuwepo pale wanandoa wanapoishi pamoja kwa amani kinyume cha hapo ukilazimisha heshima utabadili ndoa kuwa ndoano
 
kuna wazee humu wamekuwa na ndoa zao for about 10yrs! Wangetumika kuwashauri vijana. Hawakuwa na uvumilivu!
 
Heshma ya ndoa inakuwepo pale wanandoa wanapoishi pamoja kwa amani kinyume cha hapo ukilazimisha heshima utabadili ndoa kuwa ndoano

"mwanamke hataachwa ila kwa zinaa!" . Kwani huyo mwana mama kafumaniwa?
 
Hahahahah mwaka wa shetani umeikumba chit chat mahusiano section
 
Back
Top Bottom