Dunia hii watu wanaubunifu sana. Kuna jamaa ni engineer kasave mchepuko wake kwenye simu kama engineer fulani, kwahiyo siku zote mchepuko ukipiga simu hata wife akiona anamwambia 'engineer fulani...
Jamani eh mi sijawahi kufika Rock city ila Pasaka hii nimeona nikailie huko maana holiday ndefu hii kuanzia ijumaa kuu hadi J4 Karume day ni siku tano za nguvu.
Basi wadau mlioko huko...
Habari zenu sana JF,
Kunahizi sifa aisee nashindwaga kuzielewa nianze na wadada
1:WANAWAKE/KINADADA
Unakuta bi mdada anajisifia eti ooh black beauty wakati jamaa wake anachepuka na demu mweupe...
Umetoka zako kununua panga upo barabaran unatembea kwa miguu, ghafla simu inaita unapokea ile umeipokea anatokea kibaka anakwapua simu yako na kuanza kukimbia mbaya zaidi kibaka huyo ni albino...
1.Mr Single and searching
Huyu kwa kumuangalia tu utajua anahitaji mwenza wa maisha yake,tofauti na wengine,huyu hupenda kuhudhuria sherehe mbalimbali na kujichanganya na watu,hupenda kutabasamu...
Siwaoni au sioni watu wengi humu wakijichanganya kwa wingi kuchangia pia katika baadhi ya mada za JF humu zilizosisitizwa jadili kwa kiingereza tu?.
Ila wengi wetu ( GENTAMYCINE nikiwemo )...
Leo saa kumi za jioni nikiwa katika mazungumzo ya kawaida na babu yangu ambaye ni kama rafiki yangu ulizuka ubishani, yeye anaamini maisha ni bahati,mimi nikiamini kufanya kazi kwa bidii na...
SI MCHEZO duniani kuna watu. Juzi juzi nilihadithiwa mkasa nikagundua kuwa binadamu tunapishana barabarani lakini akili zetu tofauti. Jirani yangu juzi kanambia alikwenda kwao, si unajua ndugu...
Kuna mtumishi mmoja alinambia kuwa tukifika mbinguni kabla ya hukumu kutakuwa na video ikionyesha maisha ya kila mtu katika kipindi chote cha uhai wake.
Video ya nani unaisubiria kwa hamu sana...
Hatua hii najua kila mtu aliipitia .
Naomba uandike maneno ya watoto unayo yakumbuka
naanza na haya ya mwanangu
.. mboda (mboga)
..mma (maji)
..kitombe (kikombe)
daa tumetoka mbali
Ni siku nyingi sana zimepita hatujaona taarifa za na comment za watu hawa kama P didy, pamoja nae The Bold watu ambao walikuwa wakitupatia updates za matukio hususani ya fumanizi na watu...
Kwanini Matrafiki wa kibongo ni waoga kusimamishwa magari ya raia wa kigeni kama Wazungu, Waarabu, Wachina. Je, wanawaogopa au ndio mambo ya lugha gongana?
Habari zenu… ebna kuna mdada huwa nikikutana nae na tukikutanisha macho yakwake na yangu, dizain kama naona tunasemeshana,,, tatzo ni nin apo jamaani msaada na ni kila sikuuu…...
Sitaki mazoea nawewe wala usinikumbuke tena sina shida nawewe tena, haya ni maneno niliyomwambia shetani siku ya leo sijui wewe utamwambia nini karibu umwaibishe shetani mpe neno siku ya leo.
Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record...
Niliwahi kuaminishwa kuwa unapotema mate wakati unakojoa (urine), inasaidia kujikinga dhidi ya uchawi kupitia njia nyhiyo.Baadhi ya watu wamaekuwa wakifanya tabia hiyo wakati wakikojoa.
Embu...
SIku moja Nunda alikuwa anenda kwa babu yake ilikuwa ni wakati wa likizo ,sasa alifungasha nguo na mizigo miwili mitatu na kuiweka kwenye mkokoteni ambao alitengenezewa kiasi chake ,kwa babu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.