Habari wana JF!
Upo kwenye basi mmejazana, kwa bahati mbaya umemkanyaga mtu, unamuomba msamaha ila yeye hakuelewi anaanza kukutolea maneno ya ajabu. Hivi utafanya nini?
Tanzania ina uzuri wa kijiografia na mambo mengineyo pia.....sasa leo nataka uweke jina la kijiji au eneo ambalo linafurahisha......
Mm kuna eneo linaitwa NAMANYERE.....sijui liliko ila...
BREAKING NEWS
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba,basi la Mohamed Trans lenye namba za usajili T 468 CAV lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza likiwa na abiria 65,majira ya saa nane...
Kutokana na idadi kubwa ya watu kwenda kujiunga na vifurushi vya chuo katika vyuo mbalimbali, tigo wapo mbioni kufuta na kuanzisha vifurushi vya kanisani na msikitini ambapo mtumiaji atatakiwa...
Tunaanza na habari za kitaifa.
Member momja wa jf ambaye makazi yake ni celebrity forums amekutwa akitakatishwa na my wife wake Live na OFM. Aidha member huyo alikataa katakata kuongelea why...
Dear MMU,
It has been long time.I miss everyone here, eevery one.Starting with u who is reading this thread now, I miss you , yes you I miss u.
Out of all registered members here in JF Baba...
Kwanza kabisa napenda kuchukuwa fursa hii kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kunipa pumzi hii adimu hadi leo gentamycine nimegonga miaka deshi deshi. Pia napenda kuwashukuru sana wazazi...
Jambo hili hunitokea mara kwa mara sana na linaniudhi mno.Nimekaa mahali najipumzisha ghafla namkumbuka mtu.Anaweza akawa ni mwanafamilia au school/college mate wa siku nyingi.
Kisha una namba...
msichana wa sura nzuri Lady doctor
kitu gani kinakufanya usiolewe
elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi
msichana wa urembo kama wewe Lady doctor
uonyeshe mapenzi kwa vijana kama...
Nikiwa kama waziri wa majanga(pembe za ndovu) na maliasili ChitChat,Nimesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara wanaojiita mabilionea kung'ang'ania vitalu vya gesi iliyovumbuliwa katika nchi ya...
Habari zenu jamani,
Nimeamua kutoa ya rohoni nikiwa kama mtoto wa kiume,uvumilivu umenishinda baada ya kupitia bandiko za huyu binti Madame B nimekuwa chizi ghafla.
Nimefanya utafiti kupitia...
Kwenda kwa:wana jf
kutoka: Madame B
ndugu wana jf napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu nyote kwa ushirikiano mliouonyesha toka nilipotangazwa kuwa mgombea wa jf miss chitchat 2012...
Mnaikumbuka hili saga.Ilitokea miaka 2 iliyopita C.T.U VS Chit Chat.
Waraka wa kwanza wa C.T.U kwa wana Chit Chat wote;
Wakuu habari zenu poleni kwa majukumu ya siku nzima.
Leo sina nia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.