Macho yake

Macho yake

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
953
Reaction score
413
Habari zenu… ebna kuna mdada huwa nikikutana nae na tukikutanisha macho yakwake na yangu, dizain kama naona tunasemeshana,,, tatzo ni nin apo jamaani msaada na ni kila sikuuu….

Tupochuo kimoja ila facult tofauti ila kuna baadh ya coarse tunapga pamoja, ni apa mzumbe university…

Saada wadau!
 
kuna mada zingine unatakiwa kuwa chizi kuzijibu

professor kilaza
 
Sasa kama mmeamua kusemeshana kwa macho si muendelee tu ili kuacha midomo ifanye kazi ya kulia chakulia chakula.
 
Habari zenu… ebna kuna mdada huwa nikikutana nae na tukikutanisha macho yakwake na yangu, dizain kama naona tunasemeshana,,, tatzo ni nin apo jamaani msaada na ni kila sikuuu….

Tupochuo kimoja ila facult tofauti ila kuna baadh ya coarse tunapga pamoja, ni apa mzumbe university…

Saada wadau!

Theory of attraction...!
 
Back
Top Bottom