lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Kwanini Matrafiki wa kibongo ni waoga kusimamishwa magari ya raia wa kigeni kama Wazungu, Waarabu, Wachina. Je, wanawaogopa au ndio mambo ya lugha gongana?
Mmmmh !! Mkuu MaTrafiki ndo wanapenda kuyasimamisha hayo magari ya wageni, Huwa wanapataga $dola, Sigara, kikamtio mabaki ya hakula, malupulupu !!
Mkuu wewe kama ni Dereva , Basi uwekage (Mkate, msosi spea) unapo simamishwa na hawa jamaa!! wee tabsamu na lifatiwe na mloo... utaachiwa tu!!ila msosi unavutia