Watu watokao mkoa wa Mara/ Wakurya na UGALI

Watu watokao mkoa wa Mara/ Wakurya na UGALI

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Hivi kwanini watu wa mara yaani wakurya wanapenda kula sana ugali kuliko chakula chochote kile si wanawake wala wanaume?

Kuna siri gani hapa?
 
Ugali una nguvu.

Kamwulize Wasira atakwambia.
 
Hivi kwa nini watu wa mara yaani wakurya wanapenda kula sana ugali kuliko chakula chochote kile si wanawake wala wanaume. kuna siri gani hapa?

we kale vi chips vyako hivyo halafu uje uanze kutulalamikia hapa una upungufu wa nguvu.ila usijali tutakusaidia tu
 
Hivi kwanini watu wa mara yaani wakurya wanapenda kula sana ugali kuliko chakula chochote kile si wanawake wala wanaume?

Kuna siri gani hapa?
Maswali mengine bana, ni sawa na kuuliza kwa nini Waitaliano wanapenda sana kula pizza na pasta!.
 
Ulaji wa ugali uliopitiliza umewafanya wawe na nguvu za kuwakata viungo...maalbino na kuwaua wazee wao...wenye macho mekundu...bila kusahau kuwatia vilema na kuwaangamiza wake zao....
 
Hivi kwanini watu wa mara yaani wakurya wanapenda kula sana ugali kuliko chakula chochote kile si wanawake wala wanaume?

Kuna siri gani hapa?

Lukelo how old are you, your thread reflects your age, you must be bellow 17,
 
Kuna jamaa akisikia au kuona mada ya watu wa Mara anapata shida na kutoa negative attitudes tu.Natabasamu kwa sauti!
 
Back
Top Bottom