Tumekutana kwenye conference ya mkutano wa kimataifa ambapo mgeni alikuwa makamu wa Rais, mi niko bize na mikamera yangu na yeye ana kinotebook tu, mara ile tunatoka ooh nipige picha nipost...
Wandugu, Hamjambo wote?
Sikukusudia kuwa na kitu kiitwacho part ii ila imebidi iwe hivyo kwa sababu
nilipoanza, umeme ulinikatikia katikati kabla ya kumalizia thread.Nikamalizia
kwa kusema kwamba...
Jamaa fulani jina linahifadhiwa kapuni alifunga ndoa juzi juzi na mtoto mmoja mrembo tena kabinti cha ukweli.Wiki mbili tu baada ya ndoa jamaa aliamua kudhihirisha kuwa yeye ni mtaalamu mwenye...
Waungwana naomba mawazo yenu ili nitatue hili tatizo langu la kusinzia maana linanikera sana yani nikikaa sehemu nikatulia nasinzia, nikiwa nasoma sms kwenye Sim nasinzia, nikijisomea gazeti au...
Wandugu, shimo langu la mererani limetema vizuri sana wiki ilopita na kwa makadirio ya haraka
ntaambulia kiasi cha kama milioni 500.
Kiasi hicho pamoja na akiba niliyojiwekea, nadhamiria kuinunua...
Leo kutakuwa na maandamano nchi nzima ya wanawake, kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi saa nne asubuhi mwisho.
Lengo ni kuitaka serikali kuweka kwenye katiba kipengele cha wanawake kuruhusiwa...
Haya haya shindano jiipya na la aina yake. Shiriki kwa ku-coment maneno yoyote. Ukibahatika kuwa wa mwisho ku-comment utajikulia gari mpyaa, laptop 5, piki piki 2, pamoja na fedha taslimu shilingi...
Vijana wa sasa naweza kusema wamekosa hadithi na mafundisho mazuri kuliko yale tuliyopata sisi Zamani. Naomba leo niwakumbushe
1. KIBANGA AMPIGA MKOLONI
2. SIKU YA GULIO KATERERO
3.NDOTO ZA...
You can fool all the People some of the time, and some of the people all the time, But you can not FOOL the Person which is alrdy FOOL.
Nice quote na if like this Read Again
Happy BeautFool
Wanajamvi, usiku wa leo nilikuwa naoga mida ya saa4 unusu hiv usiku. maji yakapelea nikamwagiza mdogo wangu anongezee maji. Kama kawa alishazoea akitokka anapiga roky. Ebwana eh namaliza kukoga...
Mdogo wangu ana rafiki yake ambaye amepoteza simu aliisahau kwenye bajaji, walivyoniambia kuwa ni samsung galaxy nikaona ni rahisi sana ku i trace .
Kwanza aliyeikota ni mwanaume na alivyo...
Habarini wanaJF, wadau, na wachangiaji wote humu ndani. Leo nimekumbuka baadhi ya vitabu vya hadithi vya kiswahili nilivyovisomaga enzi zilee.
Vitabu kama vya Someni kwa Furaha, Hadithi za...
Wakuu habarini za wakati huu,
Nimeona ni vema na haki kulileta hili jambo kwenu, personally it has been long time tangu nimuone huyu jamaa humu jukwaani kwa mara ya mwisho.
Bategereza alikuwa...
Aisee jana niliota nipo na binti moja maarufu humu MMU tuna-do,sijawahi kuona hata sura yake,sijawahi kumtumia hata pm,sijawahi kumsalimia hata kwenye thread,ila huyu mrembo alikuwa mtamu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.