Niliwahi kuaminishwa kuwa unapotema mate wakati unakojoa (urine), inasaidia kujikinga dhidi ya uchawi kupitia njia nyhiyo.Baadhi ya watu wamaekuwa wakifanya tabia hiyo wakati wakikojoa.
Embu tueleze wewe mwanaJF, hili kwako au kwenu ikoje?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.