Duh....Kigoma na Asili ya Ubishi

Duh....Kigoma na Asili ya Ubishi

josam

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
2,252
Reaction score
1,047
Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record zilinipa ushahidi kuwa Waha wengi wana asili ya kuwa wabishi kuliko hata akina Mwita, Marwa, Chacha!

Mwenzangu unasemaje katika hilo?

Kistaarabu zaid, karibu kwa maoni.
 
Ni kweli kabisa...hawa jamaa hua ni wabishi balaa...hawakubaligi kuonekana hawajui...wabishi kama dagaa
 
Asante kigoma kwa ajili ya mbishi kafulila
 
Ni kweli kabisa...hawa jamaa hua ni wabishi balaa...hawakubaligi kuonekana hawajui...wabishi kama dagaa

Jamaa wnapenda ligi balaa, hata kwa vitu vidogo! Hawashindwagi ati!
 
Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record zilinipa ushahidi kuwa Waha wengi wana asili ya kuwa wabishi kuliko hata akina Mwita, Marwa, Chacha!

Mwenzangu unasemaje katika hilo?

Kistaarabu zaid, karibu kwa maoni.

Wamakonde je?
 
Siyo kweli ubishi wa nini ...kufaulu au kufeli au richmond au escrow au nini...mtoa hoja mlikuwa mnabishania nini? Na umekutana nao wangapi....wa wapi....na mlikuwa mnaongelea nini....hahaha
 
Ila waha wamesaidia sana hapa Tanzania kama Richmond tegeta escrow hadi mtu anaambiwa tumbili ila anakomaa hadi kikaeleweka Mungu awasaidie hata zzk isinge kua ubishi na ujuaji kwani wamgemfukuza chadema
 
Kweli ni wabishi. Nimesoma na Waha wengi tu katika level mbalimbali aisee ni wabishi sana na wanapenda ile hali. Nakumbuka kuna baadhi yao akianza kubisha tu palepale mwanzoni mkubalie mwambie ndio basi ndio hivyo anajisikia vibaya yeye anataka uendelee kubisha ili muendelee kupiga kelele
 
Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record zilinipa ushahidi kuwa Waha wengi wana asili ya kuwa wabishi kuliko hata akina Mwita, Marwa, Chacha!

Mwenzangu unasemaje katika hilo?

Kistaarabu zaid, karibu kwa maoni.

Kama mnasafiri kwa treni anaweza akabishana na abiria wa behewa zima na bado mkanyoosha mikono kukubali kushindwa
 
Siyo kweli ubishi wa nini ...kufaulu au kufeli au richmond au escrow au nini...mtoa hoja mlikuwa mnabishania nini? Na umekutana nao wangapi....wa wapi....na mlikuwa mnaongelea nini....hahaha

Ikurusha mshale polini ukasikia kilio jua amenaswa... tehe... the.
 
duu! ila yote 9-10 wamakonde wabishii asa uje uwakute kwenye ushidani wa mpira utachoka
 
kweli kabisaa! hawa jamaa awawezi kukubari hadi wahahakishe unawapa kombe!

nafikiri ata nicki mbishi naye ni muha!
 
Wasukuma vipi? Mimi naona wasukuma wanaongoza kwa ubishi.
 
Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record zilinipa ushahidi kuwa Waha wengi wana asili ya kuwa wabishi kuliko hata akina Mwita, Marwa, Chacha!

Mwenzangu unasemaje katika hilo?

Kistaarabu zaid, karibu kwa maoni.

Hakuna binadamu mbishi..mara nyingi utamuita mtu mbishi kwa kuwa amekataa kukubaliana na wewe kwa ishu ambazo mara nyingi it is a matter of opinion. Na kiuhalisia mtu aliyekukuta unabishana na mha alitoa riport kuwa "nimekuta watu wawili wanabishana"..coz mtu mmoja hawezi kubishana

Kama mtu unamuonyesha gari akakataa na kusema ni chandarua huyo muite mbishi..otherwise it is your opinion and I dont have to be bound by it

Haya watani zangu nimewatetea na nyie jiongezeni sasa!!!!!
 
kweli kabisaa! hawa jamaa awawezi kukubari hadi wahahakishe unawapa kombe!

nafikiri ata nicki mbishi naye ni muha!

Mha akikukatalia neno "kukubari" akang'ang'ania "kukubali" utamuita mbishi still? au akisema sio "ata nick" ila ni "hata nick" utamuita mbish?
 
Back
Top Bottom