Utafanyeje ikikutokea hii?

Utafanyeje ikikutokea hii?

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Umetoka zako kununua panga upo barabaran unatembea kwa miguu, ghafla simu inaita unapokea ile umeipokea anatokea kibaka anakwapua simu yako na kuanza kukimbia mbaya zaidi kibaka huyo ni albino.

Je, utamkimbiza ili uokoe simu yako au utamwacha?
 
Huuuuuuh huuuuuhh huuuu...! Unalitupa panga na kumkimbza koz ni kama ile ya kichaa kakuibia nguo ulipokuwa waoga then unamkimbiza uchi...?
 
Huuuuuuh huuuuuhh huuuu...! Unalitupa panga na kumkimbza koz ni kama ile ya kichaa kakuibia nguo ulipokuwa waoga then unamkimbiza uchi...?

Hujalipata vizuri lengo la huu uzi tulioelewa tumeanza na katabasamu kidogo
 
Umetoka zako kununua panga upo barabaran unatembea kwa miguu, ghafla simu inaita unapokea ile umeipokea anatokea kibaka anakwapua simu yako na kuanza kukimbia mbaya zaidi kibaka huyo ni albino.

Je, utamkimbiza ili uokoe simu yako au utamwacha?

Mkuu mi nadhani wakina ....wataongeza mbio zaidi kumkimbiza na akikamatwa watabadlisha bidhaa badala ya kuchukua simu yake ataondoka na vingine kabisa, au vyote simu na vingine atajiongezea, ukiongeza na hasira za kuibiwa sipati picha hapo hadi dushe litahamishwa
 
Back
Top Bottom