JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mdau anahojiwa ktk kipima joto ITV kachapia mchapio ambao sijategemea kabisa "Yaan serikal kaz yake ni kuja tu na kauli mbiu lakin hakuna cha maana ,saiv wameleta hii BEST RESULT DAY ooh sorry...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Jamani, Nimefika Hapa Jijini Jana Jioni, nikaamua Kwenda Kuchukua Chumba Katika Gest Moja Naihifadhi Jina Maeneo Ya Sinza Kwa Remmy. Kwa Nje Ina Muonekano Mzuri Sana Na Wa Heshima, na Bei Ni Sh...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Jamani nimesikia tetesi kuwa Vengu yule msanii wa Ze Komedy kuwa hatunaye. Nimezipata habari hizi kwa mtu aliyenithibitishia. lakini kupata uthibitisho zaidi nimelileta kwenu jamvini kwa mwenye...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
POPOTE ULIPO NJOO HUKU TUOMBE MSAMAHA MKUU KAMA HUTAKI MIMI NAJISALIMISHA MAANA KUNA WENGINE WAMESHAPIGWA BAN KWA SABABU YETU KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KATALINA ISMAIL NA WENGINE NA WENGINE...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
UKICHUKIA KAMEZE WEMBE UFE Girlfriend wako anatokea TEGETA.....wewe unakaa CHAMANZI.....anapanda Tegeta kwa kugombania....hadi Kariakoo....anapanda gari za MBAGALA na zenyewe kwa kugombania...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari za weekend wapendwa, Rafiki kanipigia twende out nikamkubalia nikifahamu nina elfu 75000/= kwenye mpesa,kuja kucheki nina sh. 386/= na nikakumbuka jana asubuhi nilimtumia bwana mdogo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa; Baby let me be the first kukuwish... HAPPY BIRTHDAY Dem; Thank u baby, same to u
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Mimi kwa upande wangu sitasahau yafuatayo 1.sitosahau siku ya kwanza nilivyo ingia kichwa kichwa jukwaa letu lile aisee nilipewa za uso na nilishambuliwa mpaka nikapata wazo la kuanzisha jukwaa la...
3 Reactions
875 Replies
58K Views
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tarehe 01/04 inajulikana kama siku ya wajinga duniani kwa lugha yao ni ''creative day''. Mpenzi wangu tarehe hiyo anafikisha miaka kadhaa ya kuzaliwa. Naombeni mnichagulie zawadi nzuuuri na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii nahisi ni mjukuu wake ndo kampiga
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kuona hizi clip nimegundua upole, usikivu,uvumilivu, huruma na utu wa rais JK ndio chanzo maufisadi na kutowajibika kwa baadhi ya viongozi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wa kwanza ni mimi nakusubiria wewe.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama mnavyoona ndio nimeishia hapo.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Inasemekana nyie midume mmetokea tunduni (shimoni), Na mnahangaika maisha yote kurudi tunduni (shimoni) kwa mwenye kujua tuu !!!
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom