popo1986
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 1,120
- 373
Ni siku nyingi sana zimepita hatujaona taarifa za na comment za watu hawa kama P didy, pamoja nae The Bold watu ambao walikuwa wakitupatia updates za matukio hususani ya fumanizi na watu kuchukuliana wake na habari nyingine kemkem.
Vipi tena wamepotelea wapi?
Vipi tena wamepotelea wapi?